Mhe. Balozi Luvanda akiendelea na mazungumzo na ujumbe huo kutoka NDC |
Mhe. Balozi Luvanda akipokea zawadi ya ukumbusho (memento) kutoka kwa Brig. Jenerali Msola |
Mhe. Balozi Luvanda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wote. |
Mhe. Balozi Luvanda akiendelea na mazungumzo na ujumbe huo kutoka NDC |
Mhe. Balozi Luvanda akipokea zawadi ya ukumbusho (memento) kutoka kwa Brig. Jenerali Msola |
Mhe. Balozi Luvanda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wote. |
Maafisa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC walioambatana na Dkt. Stagomena Tax wakisikiliza kwa makini mkutano huo. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi akutana kwa mara ya kwanza na kiting cha Itifaki cha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki |
Sehemu ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Idara ya Itifaki wakimsikiliza Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi ambaye hayupo pichani alipozungumza nao |
Sehemu nyingine ya Watumishi wakifurahia jambo wakati wakimsikiliza Mhe. Prof. Kabudi (hayupo pichani) |
Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakiwa kwenye mkutano wao na Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi (hayupo pichani). |
Mhe. Prof. Kabudi akiwa katika picha ya pamoja na Watumishi wa Idara ya Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. |
Bw. Santos akimweleza jambo Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi |
Dodoma, 04
Juni 2019
TAARIFA KUHUSU UTHIBITISHAJI WA NYARAKA
Wizara ya Mambo ya Nje
na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuufahamisha Umma kwamba, kuanzia
tarehe 20 Mei, 2019 malipo yoyote Kwa Wizara yanafanyika kwa njia ya
Kielektroniki kupitia mfumo wa GOVERNMENT ELECTRONIC PAYMENT GATEWAY (GePG).
Hivyo, wateja wote
watakao hitaji kufanya malipo ya uthibitisho wa nyaraka mbalimbali zikiwemo;
vyeti vya talaka, ndoa, kuzaliwa, Kifo n.k wanapaswa kabla ya kufanya malipo
yoyote kuwasiliana na ofisi za Wizara kupitia vituo vyake vilivyopo Dodoma, Dar
es salaam na Zanzibar ili kupatiwa ‘Control
Number’ ili kufanikisha malipo husika kupitia Akaunti ya Benki ya CRDB.
Wateja
wanaoleta nyaraka hizo kwa uthibitisho, wanaendelea kukumbushwa pia kukamilisha
hatua muhimu kabla ya kupatiwa ‘Control
Number’ ikiwemo kupelekwa kwanza
katika Mamlaka na Taasisi husika zilizotoa vyeti/nyaraka hizo ili vihakikiwe na
kuthibitishwa.
UMMA WOTE UNAOMBWA KUZINGATIA RAI KWAMBA, MALIPO
YOYOTE YATAKAYOFANYIKA KINYUME NA MAELEKEZO BAADA YA TANGAZO HILI,
HAYATOPOKELEWA
Imetolewa
na:
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki,
|
Dodoma, 31 Mei 2019
PRESS RELEASE
Job Announcement at the African Commission for Nuclear Energy
The Ministry of Foreign Affairs and
East African Cooperation has received vacancy notification from the African
Commission for Nuclear Energy (AFCONE) inviting qualified Tanzanians to apply
for the post of Desk Officer available at the AFCONE.
For more details and application
instructions, candidates are advised to visit: https://www.pnet.co.za/cmp/en/African-Commission-on-Nuclear-Energy-AFCONE-27508/work.html.
Application deadline is 16th June 2019.
Issued by;
Government Communication Unit,
Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
|
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Kangi Lugola (Mb.) naye akichangia hoja kwenye Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. |
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Willium Lukuvi (Mb.) naye akichangia hoja kwenye Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. |
Baadhi ya Wabunge wakifuatilia kwa hoja zilizokuwa zikichangiwa na wabunge mbalimbali. |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro (Mb.) akipongezwa na Mhe. Joseph Mbilinyi Mbunge wa Mbeya Mjini. |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwasilisha Bungeni Bajeti ya Wizara yake May 30, 2019 |
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe akipongezwa na Mwakilishi wa Ubalozi wa China hapa Nchini Bw Lin Liang. May 30, 2019.
|
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwa pamoja na baadhi ya wazazi na watoto walioshinda katika mashindano ya uandishi wa insha kwa nchi za Afrika ya Mashariki,watatu kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Faraji Mnyepe,May 30, 2019 |