Monday, June 17, 2019
Friday, June 14, 2019
Prof. Kabudi amuaga Balozi wa India
Prof. Kabudi akiwa na ujumbe wake wakati wa chakula cha jioni kwa ajili ya kumuaga Balozi wa India anayemaliza muda wa uwakilishi nchini. |
TANGAZO KUHUSU USHIRIKI WA WIZARA WIKI YA UTUMISHI WA UMMA
TANGAZO
MAADHIMISHO YA WIKI YA UTUMISHI WA
UMMA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Afrika Mashariki inapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa, itashiriki Maadhimisho
ya Wiki ya Utumishi wa Umma kuanzia tarehe 17
hadi 22 Juni 2019. Maadhimisho haya ni kwa mujibu wa kalenda ya
Umoja wa Afrika (AU) ambapo nchi wanachama huadhimisha kwa kushiriki shughuli mbalimbali
zinazohusu Utumishi wa Umma.
Wakati wa maadhimisho hayo,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imeandaa madawati
maalum ya kutoa huduma kwa wananchi katika Ofisi za Wizara zilizopo Kata ya
Mtumba jijini Dodoma na zile zilizopo Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM).
Huduma zitakazotolewa ni
pamoja na kusikiliza na kutoa ufafafanuzi wa hoja mbalimbali za wananchi kuhusu
Wizara pamoja na kutoa elimu kuhusu majukumu yanayotekelezwa na Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika.
Madawati hayo yatakuwa wazi
kuanzia saa 1.30 asubuhi hadi saa 10.00 jioni.
NYOTE MNAKARIBISHWA.
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dodoma.
14 Juni 2019
Kampuni 11 za Uturuki zatafuta fursa za Uwekezaji
Mwakilishi wa Wizara
ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Hassani Mwamweta (kushoto) katika
picha ya pamoja na viongozi wa wafanyabiashara wa Uturuki na Tanzania.
|
Thursday, June 13, 2019
Prof. Kabudi afanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Rwanda
Wednesday, June 12, 2019
Prof. Kabudi aviomba vyombo ya habari kuelimisha umma kuhusu SADC
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akizungumza na Wamiliki na Wakuu wa Vyombo vya Habari nchini katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere leo. Prof. Kabudi aliwaeleza Wamiliki na Wakuu wa Vyombo vya Habari kuhusu Tanzania kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) utakaofanyika nchini mwezi Agosti 2019. Prof. Kabudi aliwasihi Wakuu hao kushirikiana na Serikali hususan katika kueleimisha umma kuhusu SADC pamoja na kutoa elimu kwa wafanaybiashara na wananchi kwa ujumla kuhusu fursa za mkutano huo za zile zinazopatikana katika nchi wanachama wa SADC.
Baadhi ya Wamiliki na Wakuu wa Vyombo vya Habari nchini walioshiriki katika kikao cha Waziri. Mwenye tai nyekundu ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania, Dkt. Ayoub Rioba. |
Mkutano wa Wamiliki na Wakuu wa Vyombo vya habari na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ukiendelea |
Wakongwe wa tasnia ya Habari nchini ambao walikuwa walimu wa Mhe. Waziri katika fani hiyo. |
Picha ya Pamoja kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Wamiliki na Wakuu wa Vyombo vya Habari nchini. |
VACANCY ANNOUNCEMENT AT THE COMMONWEALTH SECRETARIAT
PRESS
RELEASE
VACANCY
ANNOUNCEMENT AT THE COMMONWEALTH SECRETARIAT
The Ministry of Foreign
Affairs and East African Cooperation has received vacancy notification from the
Commonwealth Secretariat inviting qualified Tanzanians to apply for the post of
Adviser, Service Delivery and Reporting.
Application details can be
found through the Secretariat’s website, http://thecommonwealth.org/jobs.
Closing date for application is Tuesday 18th June 2019.
“The Ministry encourages
qualified Tanzanians to apply”.
Issued
by;
Government
Communication Unit,
Ministry
of Foreign Affairs and East African Cooperation,
Dodoma.
12th June
2019.
Tuesday, June 11, 2019
ZOEZI LA KUPIMA UTAYARI KUKABILI MAGONJWA YA MLIPUKO MIPAKANI LA ZINDULIWA
Sehemu ya Viongozi kutoka Upande wa Kenya wakimsikili kwa makini Mhe. Mwalim |
Waziri wa Viwanda wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Adan Abdulla Mohammed naye akihutubia kwenye ufunguzi huo. |
Juu na chini ni wageni walio hudhuria ufunguzi wa zoezi hilo
Mhe. Mwalim, Mhe. Mohammed pamoja na Mhe. Ulega wakitiza na kupama maelezo kutoka kwa mtaalamu wa kukabiliana na Magonjwa ya Mlipuko |
Juu na Chini Mawaziri hao walitembelea vituo vya Kutolea Huduma kwa pamoja (OSBP) vilivyopo Namanga mpakani mwa Tanzania na Kenya.
Prof. Kabudi afanya mazungumzo na Waziri wa Viwanda na masuala ya Afrika Mashariki wa Sudan Kusini
Washiriki wa Mafunzo kutoka NDC wafanya ziara ya mafunzo nchini India
Mhe. Balozi Luvanda akiendelea na mazungumzo na ujumbe huo kutoka NDC |
Mhe. Balozi Luvanda akipokea zawadi ya ukumbusho (memento) kutoka kwa Brig. Jenerali Msola |
Mhe. Balozi Luvanda akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wote. |
Subscribe to:
Posts (Atom)