![]() |
| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Mhe Jack Mugendi Zoka |
| Mhe. Rais Kikwete akimkabidhi vitendea kazi Balozi Samwel William Shelukindo. |
| Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akizungumza jambo na Balozi Shelukindo baada ya kuapishwa. |
| Balozi Shelukindo (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wenzake kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Picha na Reginald Philip


No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.