| Mhe. Membe akihutubia. |
| Balozi wa China nchini, Mhe. Lu Yongqing akihutubia wakati wa hafla hiyo. |
| Mwenyekiti wa Chama hicho Mhe. Salim nae akizungumza wakati wa hafla hiyo |
| Mhe. Membe kwa kushirikiana na Balozi Lu Yongqing wakizindua Chama hicho kwa mara nyingine. |
| Waziri Membe, Balozi Lu na Dkt. Salim pamoja na wageni waalikwa wakati wa hafla hiyo. |
| Waziri Membe pamoja na Wageni waalikwa wakiinua glasi juu kutakiana heri |
| Waziri Membe akijadiliana jambo na Dkt. Salim |
| Hafla ikiendelea |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.