Thursday, April 14, 2016

Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje wakutana na Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiwasilisha Taarifa ya Wizara kwa Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama (NUU)-hawapo pichani. Mkutano huo ulifanyika kwenye Ukumbi wa GEPF, Kijitonyama Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Aprili, 2016
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Balozi Adadi Rajabu (kulia), akizungumza wakati wa  kikao na Uongozi wa Wizara ya Mambo ya Nje.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa. Mhe. Susan Kolimba (Mb) (katikati), akizungumza wakati wa mkutano huo
Mbunge kutoka Jimbo la Shinyanga Mjini na Mjumbe wa Kamati ya Bunge ya  Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Mhe. Stephen Masele (kulia) akichangia jambo wakati wa majadiliano ya mapendekezo ya bajeti ya Wizara.
Wakurugenzi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje nao wakifuatilia kwa makini mkutano ulio wakutanisha na Kamati ya Bunge 
Sehemu nyingine ya Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo kutoka Wizara ya Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa wakifuatilia mkutano na Kamati ya Bunge
Sehemu nyingine ya Wakurugenzi
Katibu Mtendaji wa Taasisi ya Mpango wa Afrika kujitathmini Kiutawala Bora (APRM), Bibi Rehema Twalib naye akitoa mchango kwa Kamati ya Bunge

Mhe. Kolimba akipata ufafanuzi wa jambo kutoka kwa Wataalam wakati wa kikao na Kamati ya Bunge

Sehemu ya Maafisa kutoka Wizarani

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.