Wednesday, June 25, 2014
Tuesday, June 24, 2014
Makamu wa Rais wa China afungua Kongamano la Taasisi ya Utamaduni Barani Afrika na kuweka Jiwe la Msingi la Ubalozi wa China nchini
| Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Rwekaza Mukandala akimkaribisha Mhe. Dkt. Bilal kuhutubia wajumbe waliohudhuria ufunguzi wa kongamano hilo. |
| Mhe. Dkt. Bilal akizungumza. |
| Wajumbe wakimsikiliza Mhe. Dkt. Bilal (hayupo pichani |
| Mhe. Li naye akizungumza |
| Mhe. Dkt. Bilal akimsikiliza Mhe. Li (hayupo pichani) |
| Mhe. Dkt. Bilal na Mhe. Li wakifurahia burudani zilizokuwa zikitolewa na vikundi mbalimbali (havipo pichani) |
Picha ya pamoja.......Uwekaji Jiwe la Msingi la Jengo la Ubalozi wa China nchini...... |
| Mhe. Li akisalimiana na raia wa China wanaoishi hapa nchini kabla ya kuweka Jiwe la Msingi la Jengo la Ubalozi wa China hapa nchini |
| Picha ya pamoja baada ya kuweka Jiwe la Msingi Picha na Reginald Philip |
Mhe. Rais amwapisha Balozi Sokoine
| Balozi Sokoine akisaini hati ya kiapo mbele ya Mhe. Rais Kikwete |
| Wageni waalikwa wakishuhudia tukio hilo |
| Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule akisalimiana na Mama mzazi wa Balozi Sokoine ambaye alikuwepo kushuhudia tukio hilo. |
| Mhe. Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Sokoine pamoja na ndugu, jamaa na marafiki wa balozi huyo. |
Balozi Sokoine apokelewa kwa shangwe Wizara ya Mambo ya Nje
| Balozi Sokoine akisalimiana na Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bi. Glory Mboya mara baada ya kuwasili Wizarani baada ya kuapishwa. |
| Balozi Sokoine akisalimiana kwa furaha na Bw. Kelvin Kheri mmoja wa Wafanayakazi Wizarani. |
| Mapokezi yakiendelea. |
| Balozi Sokoine akisalimiana na Wafanyakazi wa Wizara walipompokea kwa furaha |
Monday, June 23, 2014
Makamu wa Rais wa China afungua rasmi Kongamano la Uwekezaji
| Wajumbe mbalimbali wakifurahia hotuba ya ufunguzi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Yuanchao (hayupo pichani). |
| Mhe. Pinda, Mawaziri na wajumbe wengine wakimsikiliza Makamu wa Rais wa China, Mhe. Li Yuanchao (hayupo pichani) alipokuwa akifungua Kongamano la Uwekezaji kati ya Tanzania na China |
| Wajumbe wakifuatilia ufunguzi |
| Picha ya pamoja na Wajumbe wa Kongamano Picha na Reginald Philip |
Sunday, June 22, 2014
Makamu wa Rais wa China awasili nchini kwa ziara ya kikazi
| Makamu wa Rais wa China Mhe. Li Yuanchao akipita katikati ya Gwaride la Heshima wakati wa mapokezi yakehuku akisindikizwa na Mwenyeji wake Mhe. Dkt. Bilal. |
| Mhe. Li akifurahia kikundi cha burudani kilichokuwa uwanjani hapo (hawapo pichani) wakati wa mapokezi yake. |
| Moja ya vikundi vya burudani vikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Makamu wa Rais wa China alipowasili hapa nchini.
Picha na Reginald Philip
|
Friday, June 20, 2014
Waziri Membe azungumza na Balozi wa Oman nchini
| Waziri Membe akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na Balozi wa Oman nchini |
| Waziri Membe pamoja na Balozi wa Omani wikifurahia jambo wakati wa mazungumzo yao wa kwanza kushoto ni Afisa aliyeambatana na na Balozi wa Oman. |
| Picha ya pamoja.
Picha na Reginald Philip
|
Thursday, June 19, 2014
Balozi mpya wa Marekani nchini ajitambulisha rasmi kwa Waziri Membe
| Mhe. Membe na Mhe. Childress katika picha ya pamoja. |
| Mhe. Childress akisaini Kitabu cha Wageni alipowasili Ofisini kwa Mhe. Membe |
| Mhe. Membe na Balozi Childress wakiwa katika mazungumzo |
| Mhe. Childress na ujumbe aliofuatana nao wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) |
Subscribe to:
Comments (Atom)