Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Mhe. Joseph Kabila Kabange akikata utepe pamoja na mwenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli (wa kwanza kulia), na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Pro. Makame Mbarawa (wa kwanza kulia) wakati wa kuweka jiwe la msingi katika Jengo la Mamlaka ya Bandari lililopo nchini Jijini Dar es Salaam. Mhe. Magufuli amatumia nafasi hiyo kumuhakikishia Mhe. Kabila kuwa wafanyabiashara kutoka Congo hawatopata matatizo kwa kutumia Bandari ya Dar es Salaam, kwa kuwa Serikali imerekebisha mapungufu yaliyokuwepo kipindi cha nyuma. |