| Sehemu ya Wananchi na Wageni waalikwa waliohudhuria tukio hilo |
| Mhe. Mesa akipata maelezo kutoka kwa mmoja wa Viongozi wa Wataalam kutoka Cuba wanaofanya kazi Kiwandani hapo |
| Mtaalam mwingine kutoka Cuba akitoa maelezo ya namna maabara kiwandani hapo zinavyofanya kazi |
| Mhe. Mesa akiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali na Wataalam wanaofanya kazi kiwandani hapo |
| Mhe. Mesa akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda hicho. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.