Naibu Waziri Mhe. Dkt. Ndumbaro (Mb) akisalimiana
na Bw. Japhary Kachenje Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani wa Wizara ya Mambo
ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
|
Thursday, October 18, 2018
Dkt. Ndumbaro Akutana na Wakurugenzi na Wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki.
Wednesday, October 17, 2018
Tuesday, October 16, 2018
Dkt. Ndumbaro akutana na Balozi wa Uganda,Uingereza na Kaimu Balozi wa Marekani
Dkt. Ndumbaro akiagana na Bi. Patterson |
=====Dkt. Ndumbaro akutana na Balozi Cooke=====
Picha ya pamoja mara ya kumalizika kwa mazungumzo kati ya Dkt. Ndumbaro (wa pili kulia) na Balozi Cooke (wa pili kutoka kushoto), Dkt. Mnyepe pamoja na Afisa Ubalozi wa Uingereza Bw. Matt Sutherlal |
======Dkt. Ndumbaro akutana na Mhe. Kabonero=======
Katibu Mkuu wa Wizaraya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Kasidi Mnyepe (wa kwanza kushoto), pamoja na Maafisa Mambo ya Nje wafuatilia kwa makini mazungumzo hayo. |
Mazungumzo yakiendelea |
Mhe. Dkt. Ndumbaro akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Kabonero. |
Picha ya pamoja. |
Monday, October 15, 2018
Ubalozi wa Tanzania, Komoro waadhimisha kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere
UBALOZI WA TANZANIA VISIWANI COMORO
WAADHIMISHA SIKU YA MWALIMU NYERERE
TAREHE
13 Oktoba, 2018
Ubalozi wa Tanzania Visiwani Comoro kwa
kushirikiana na Umoja na Vijana Visiwani hapa ujilikanao kama Udjamaa wa Komori
na Afrika Mashariki tarehe 13 Oktoba, 2018 uliadhimisha siku ya Mwalimu Nyerere
(Nyerere Day). Maadhimisho hayo yalifanyika katika ukumbi wa mkutano wa Ubalozi
uliopo katika mtaa wa Oasis, Moroni, Visiwani Comoro.
Hii ni mara ya kwanza kufanyika
maadhimisho hayo Visiwani hapa ambapo lengo lake ilikuwa ni:-
i.
Kuonyesha
mchango wa Mwalimu Nyerere na Tanzania kwa ujumla katika ukombozi wa Visiwa vya
Comoro.
ii.
Kuelezea
historia ya baba wa Taifa hasa kwa Vijana wa Comoro amabapo historia hiyo
ilipotea kutokana na juhudi za Mfaransa.
iii.
Kudumisha
ushirikiano wa kihistoria na kindugu uliopo baina ya Tanzania na Comoro hasa
kwa kuzingatia kwamba Comoro ipo katika harakati za kujianga kwenye Jumuiya ya
Afrika Mashariki.
Katika maadhimisho hayo, Balozi wa
Tanzania, Visiwani Comoro, Mhe. Sylvester M. Mabumba alifanya mahojiano na
vyombo mbalimbali vya habari viliopo Visiwani hapa na kuelezea kuhusu maisha na
Mwalimu Nyerere na mchango wake katika harakati za ukombozi kwa Bara la Afrika.
Aidha, katika hilo Mhe. Balozi alisistiza kudumisha amani Visiwani Comoro wakati
nchi hiyo ikielekea kwenye uchaguzi Mkuu wa Rais mapema mwaka 2019.
Balozi wa Tanzania Visiwani Komoro Mhe. Sylvester M. Mabumba akifanya mahojiano na Vyombo mbalimbali vya Habari Visiwani Komoro |
Balozi Mabumba (wa tano kutoka kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Umoja wa Vijana wa Komoro maarufu kama Udjamaa wa Komoro na Afrika Mashariki |
Naibu Waziri Dkt. Ndumbaro awa mgeni rasmi maadhimisho ya Taifa la Hispania
Kaimu Balozi wa Hispania Bibi. Teresa Martin naye akihutubia kwenye hafla hiyo |
Juu na Chini Sehemu ya Mabalozi na Wageni mbalimbali walio hudhuria hafla hiyo |
Thursday, October 11, 2018
Wednesday, October 10, 2018
Maoni ya Muswada wa Sheria ya Madini wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kukusanywa
Dkt. Abdullah H. Makame akichangia jambo wakati wa ufunguzi wa mkutano huo. |
Sehemu ya wadau waliohudhuria mkutano huo wakifuatilia kwa makini ufunguzi huo |
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Joachim Otaru naye akielezea jambo kwenye mkutano huo |
Picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa Mkutano |
Tuesday, October 9, 2018
Tanzania kushiriki mazoezi ya kikosi cha dharura cha SADC nchini Malawi
Mratibu wa Program ya Mafunzo yanayofanyika nchini Malawi akieleza mpangilio wa program ya mafunzo hayo kwa ujumla |
Mratibu Mkuu wa Mafunzo hayo Meja Jenerali A.B Mhone naye akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo |
Naibu Waziri wa Ulinzi wa Malawi Mhe. Evaton Chimulirenji (kushoto) akiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi wa Malawi Generali Supini Phiri (kulia) pamoja na Mkuu wa Misheni ya mafunzo hayo, Mhe. Bi. Eunice Lumbia |
Sehemu ya viongozi wa kijeshi wakifuatilia hotuba zilizokuwa zinatolewa wakati wa ufunguzi huo |
Kikosi cha Tanzania kinachoshiriki mafunzo hayo kikiwa kimetulia wakati wa gwaride rasmi la ufunguzi rasmi wa mafunzo hayo. Kikosi hicho kinajumuisha wanajeshi, askari magereza na raia kutoka fani mbalimbali za utawala, siasa na mawasiliano |
Kikosi cha Malawi ambao ni wenyeji wa mafunzo hayo kikiwa kimetulia wakati wa gwaride la ufunguzi rasmi wa mafunzo |
Kikosi cha Tanzania kikiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi rasmi wa mafunzo hayo |
Sunday, October 7, 2018
Dkt. Mahiga ashiriki Mkutano wa TICAD
Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), akisikiliza kwamakini wakati Mawaziri wengine wakichangia mada kwenye mkutano huo Tokyo, Japan. |
Dkt. Mahiga akiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri Mhe. Sameh Shoukry walipokutana kwenye Mkutano wa TICAD ngazi ya Mawaziri nchini Japan. |
Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Bi Sadako Ogata, aliyekuwaga Mkurugenzi wa UNHCR mara baada ya kumalizika mkutano wa TICAD uliyofanyika Tokyo Japan. |
Subscribe to:
Posts (Atom)