| Mgeni Rasmi, Balozi Mlima akikagua gwaride maalum lililoandaliwa kwa heshima yake na kikosi kilichohitimu mafunzo ya JKT ambacho kilijumuisha watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje |
| Kikosi kikipita mbele ya Mgeni Rasmi kwa mwendo wa pole |
| Kikosi kikipita mbele ya Mgeni Rasmi kwa mwendo wa kasi |
| Mgeni Rasmi akikabidhi zawadi kwa waliofanya vizuri zaidi. |
| Bi. Khadija Othman akipokea zawadi yake |
| Bw. Graison Ishengoma akipokea zawadi yake kutoka kwa Mgeni Rasmi |
| Bw. Edward Komba akipokea zawadi yake. |
| Wahitimu wa mafunzo ya JKT kutoka Wizara ya Mambo ya Nje wakila kiapo cha utii |
| Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje ambao nao washapitia mafunzo hayo katika awamu ya kwanza wakiwashuhudia wenzao wakihitimu mafunzo ya JKT katika awamu ya pili. |
| Burdani ilikuwepo siku ya mahafali. Hapo bendi ya Jeshi ikitumbwiza. |
| Onesho la Makamandoo hapo mmoja wao amebeba ndoo za maji kwa kutumia meno yake. |
| Mkuu wa Kambi ya Oljoro akiongea machache kabla ya kumkaribisha Mwakilishi wa Mkuu wa JKT ili amkaribishe Mgeni Rasmi |
| Wahitimu wa mafunzo ya JKT wakisikiliza hotuba ya Mgeni Rasmi |
| Mkurugenzi wa Utawala katika Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Nigel Msangi akimpongeza Bw. Wambura kwa kuhitimu mafunzo ya JKT. |
| Tumemaliza salama, shukran kwa Wizara kwa kutuandalia mafunzo haya yenye tija kubwa kwetu. |
| Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala; Bi. Ngusekela Nyerere na Mwalimu wa somo la Uzalendo ambaye alikuwa Msadizi wa Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Nyerere. |
| Furaha tumemaliza mafunzo, Kutoka kushoto ni Felista Rugambwa, Teodos Komba na Rose Mbilinyi. |
| Wanaimba nyimbo za jeshi. |
| Picha ya pamoja kati ya Mgeni Rasmi na wahitimu wa JKT. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.