Balozi Pataki akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Rais Kikwete. |
Bendi ya Polisi. |
Balozi Pataki akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) mara baada ya Balozi huyo kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Rais Kikwete. |
Bendi ya Polisi. |
Balozi Kananathan akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) mara baada ya kuwasilisha kwa Rais Hati zake za Utambulisho. |
Balozi Kananathan akisalimiana na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha. |
Balozi Kananathan akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mmabo ya Nje na Ushirkiano wa Kimataifa, Balozi Mbelwa Kairuki. |
Balozi Kananathan akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Ikulu |
Balozi Kananathan akipigiwa wimbo wa taifa lake kwa heshima yake. Wengine ni Mkurugenzi na Mkuu wa Itifaki, Balozi Mohammed Juma Maharage (kulia) na Mnikulu, Shaaban Gurumo (kushoto) |
Bendi ya Polisi ikipiga wimbo wa taifa |
Balozi Kananathan akipeana mkono na Kiongozi wa Bendi ya Polisi, ASP Mayala Kulwa |
Maafisa Mambo ya Nje, Bw. James Bwana na Mercy Kitonga wakisikiliza wimbo wa taifa ulipopigwa wakati wa kumkaribisha Ikulu Balozi wa Sri Lanka hapa nchini (hayupo pichani) |
Balozi Ziolkowski akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) mara baada ya kuwasilisha Hati zake za Utambulisho kwa Mhe. Rais Kikwete. |
Balozi Ziolkowski akisikiliza Wombo wa Taifa lake ukipigwa kwa heshima yake mara baada ya kuwasili Ikulu. Kulia ni Mkurugenzi na Mkuu wa Itifaki, Balozi Mohammed Juma Maharage na kushoto ni Mnikulu, Bw. Shaaban Gurumo |
Bendi ya Polisi ikiongozwa na ASP Mayala Kulwa wakipiga nyimbo za taiafa za Tanzania na Poland kwa heshima ya Balozi wa Poland hapa nchini |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) akizungumza na Mwanamfalme Akishino wa Japan mara baada ya Mwanamfalme huyo kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuanza ziara yake ya siku tano hapa nchini. |
Mhe. Mahadhi na Mwanamfalme Akishino wa Japan wakiendelea na mazungumzo huku Mke wa Mwanamfalme huyo (kulia) pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Japan, Mhe. Salome Sijaona (kushoto) na Balozi wa Japan hapa nchini, Mhe. Masaki Okada wakisikiliza. |
Mazungumzo yakiendelea. |
Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili kwenye Banda la Maonesho la Wizara katika Viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere ambako Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa (Sabasaba) yanafanyika. Wengine wanaoshuhudia ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bw. Mkumbwa Ally (mwenye suti) na Bw. Mashaka Chikoli, Afisa kutoka Idara ya Sera na Mipango. |
Balozi Gamaha akizungumza na Watangazaji kutoka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) kuhusu umuhimu wa ushiriki wa Wizara kwenye maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa kuwa ni pamoja na kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi ambayo imejikita kwenye kukuza biashara, kuvutia watalii na kutangaza fursa za uwekezaji kupitia Balozi za Tanzania nje ya nchi. |
Bw. Chikoli akizungumza na mmoja wa wananchi waliofika kutembelea Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Balozi Gamaha akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa kutoka Wizarani na Taasisi zilizo chini ya Wizara ambazo ni APRM, AICC na Chuo cha Diplomasia (CFR). Picha na Reginald Philip |
H.E. David Johnston |
Mwanamfalme Akishino |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akimkaribisha Ofisini kwake Balozi wa Sweden hapa nchini, Mhe. Lennarth Hjelmaker alipofika kwa mazungumzo. |
Mhe. Membe akimsikiliza Balozi Hjelmaker wakati wa mazungumzo yao ambapo pamoja na mambo mengine walizungumzia suala la ushirikiano kati ya Tanzania na Sweden ambao unatimiza miaka 50 mwaka huu. |
Balozi Hjelmaker akimwonesha Mhe. Membe picha mbalimbali ambazo zipo kwenye Kitabu kinachoelezea miaka 50 ya Ushirikiano kati ya Tanzania na Sweden. |
Ndege iliyombeba Mke wa kwanza wa Mfalme Mswati ikiwasili katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Juliusa Nyerere jijini Dar es salaam. |
Mke wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa II wa Swaziland Malikia Nomsa La - Matsebula akiteremka katika ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara. |
Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa La - Matsebula mara baada ya kuwasili nchini. |
Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mtoto wa Mfalme Mswati II ambaye amefuatana na Malkia Nomsa kwenye ziara hapa nchini. |
Malkia Nomsa La - Matsebula akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Raymond Mushi |
Malkia Nomsa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji anayewakilisha pia nchini Swaziland, Mhe. Shamim Nyanduga |
Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi Bi. Hellen Kafumba akisalimiana na Malkia Nomsa |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza wakati wa hafla fupi ya kumuaga aliyekuwa Balozi wa Afrika Kusini hapa nchini, Mhe. Thanduyise Henry Chiliza ambaye amemaliza muda wake wa kazi. Hafla hiyo ilifanyika katika Hoteli ya Hyatt Regency (Kilimanjaro) Jijini Dar es Salaam. |
Balozi Chiliza (kulia) akiwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Rajabu Gamaha (katikati) pamoja na Balozi wa Nigeria hapa nchini, wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) wakati wa hafla ya kumuaga Balozi Chiliza. |
Balozi Chiliza nae akizungumza |
Mhe. Membe na Balozi Chiliza wakigonganisha glasi kutakiana afya njema na ushirikiano imara kati ya Tanzania na Afrika Kusini |
Mhe. Membe akimkabidhi Balozi Chiliza zawadi ya picha ya kuchora ya Mlima Kilimanjaro. |
Picha ya pamoja Picha na Reginald Philip |
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Balozi wa Somalia hapa nchini, Mhe. Abdihakim Ali Yasin ambaye alifika Ofisini kwake kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini. |
Mhe. Membe akimsikiliza Mhe. Balozi Yasin alipofika Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga. |
Mhe. Membe akiagana na Balozi Yasin |
Mhe. Membe akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Yasin pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bi. Mindi Kasiga (kushoto), Bi. Faduma Abdullahi Mohamud (wa pili kutoka kulia), Afisa kutoka Ubalozi wa Somalia hapa nchini na Bw. Bujiku Sakila (kulia), Afisa Mambo ya Nje. |