| Ndege iliyombeba Mke wa kwanza wa Mfalme Mswati ikiwasili katika kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Juliusa Nyerere jijini Dar es salaam. |
| Mke wa Kwanza wa Mfalme Mswati wa II wa Swaziland Malikia Nomsa La - Matsebula akiteremka katika ndege katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere mara baada ya kuwasili nchini kwa ziara. |
| Mke wa Rais, Mama Salma Kikwete akimpokea Malkia Nomsa La - Matsebula mara baada ya kuwasili nchini. |
| Mama Salma Kikwete akisalimiana na Mtoto wa Mfalme Mswati II ambaye amefuatana na Malkia Nomsa kwenye ziara hapa nchini. |
| Malkia Nomsa La - Matsebula akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mh. Raymond Mushi |
| Malkia Nomsa akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji anayewakilisha pia nchini Swaziland, Mhe. Shamim Nyanduga |
| Afisa Mambo ya Nje Mwandamizi Bi. Hellen Kafumba akisalimiana na Malkia Nomsa |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.