Tuesday, August 16, 2016
Waziri Mahiga aomboleza kifo cha Hayati Aboud Jumbe Mwinyi
Friday, August 12, 2016
Waziri Mahiga azungumza na Waandishi wa Habari
Mkutano huo ukiendelea |
Thursday, August 11, 2016
BALOZI HAULE AAGWA NAIROBI
Mhe. Haule akiongea wakati wa hafla ya kumuaga jana. Kushoto ni mkewe Mary. |
Mhe. Balozi Haule (aliyeketi katikati) katika picha ya pamoja na Maofisa Ubalozi. Kushoto ni Mama Mary Haule na Kulia ni Mkuu wa Utawala Ubalozini, Bi. Talha Waziri. |
Mwakilishi wa Watanzania waishio Kenya, Bw. Victor Matemba akitoa salamu zao kwa Mhe. Haule. |
Mhe. Haule na mkewe katika picha ya pamoja na watumishi wa Ubalozi wanaotoka Kenya (Local staff). |
Wednesday, August 10, 2016
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha kushona nguo cha Tooku
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10, 2016. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dr. Adelhem Meru na wapili kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe. |
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agost 10, 2016 . Kulia ni Balozi wa China nchini, Dkt Lu Youqing na kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe. |
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agost 10, 2016. |
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo eneo la EPZ,Mabibo External jijini Dar es salaam baada ya kutembelea kiwanda hicho na kuzungumza, Agosti 10,2016. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhem Meru na kulia kwake ni Balozi wa China nchini, Dkt. Lu Youqing. |
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa atembelea Kiwanda cha kushona nguo cha Tooku
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10, 2016. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dr. Adelhem Meru na wapili kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe.
|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10, 2016. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dr. Adelhem Meru na wapili kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agost 10, 2016 . Kulia ni Balozi wa China nchini, Dkt Lu Youqing na kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agost 10, 2016. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo eneo la EPZ,Mabibo External jijini Dar es salaam baada ya kutembelea kiwanda hicho na kuzungumza, Agosti 10,2016. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhem Meru na kulia kwake ni Balozi wa China nchini, Dkt. Lu Youqing. |
Waziri Mkuu Majaliwa Kassim atembelea Kiwanda cha kushona nguo cha Tooku

Vikao vya Maandalizi ya Kongamano la tatu la Diaspora vyaendelea Jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi, Anisa Mbega (katikati) akiongoza kikao cha maandilizi ya Kongamano la tatu la Diaspora kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, pembeni yake ni wajumbe wengine wa meza kuu. Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika Zanzibar tarehe 24 – 25 Agosti, 2016 |
Sehemu ya wajumbe wakifuatilia wakifuatilia kikao kwa makini |
Sehemu nyingine ya wajumbe wakifuatilia kikao |
Mwakilishi wa Diaspora Italy na VICOBA International Bw. Mwinyimwaka Hatibu akichangia jambo kwenye kikao cha maandilizi ya Kongamano la tatu la Diaspora kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Kongamano hilo linalotarajiwakufanyika Zanzibar tarehe 24 – 25 Agosti, 2016 |
Naibu Waziri apokea hati za uwakilishi za Makonseli kutoka China na India Visiwani Zanzibar
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Susan Kolimba (Mb.) akipokea Hati ya Uwakilishi kutoka kwa Konseli Mkuu kutoka Jamhuri ya Watu wa China, Bw. Xie Xiaow Visiwani Zanzibar |
Mhe. Kolimba akifanya mazungumzo na Bw. Xie Xiaowu mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho. ...Wakati huohuo Naibu Waziri alipokea hati za uwakilishi za Konseli Mkuu wa India nchini |
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Susan Kolimba (Mb.) akipokea Hati ya Uwakilishi kutoka kwa Konseli Mkuu kutoka Jamhuri ya India, Bw. T.C Barupal ambaye ataiwakilisha India Visiwani Zanzibar |
Mhe. Kolimba akifanya mazungumzo na Bw. Barupal mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho. |
Waziri Mahiga akutana na Waziri wa Mambo ya Nje mstaafu wa China
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga (Mb.) akutana na kufanya mazungumzo na aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China, Mhe. Li Zhaoxing ambaye ameongoza ujumbe kutoka Taasisi ya Diplomasia ya Umma ya China. Ujumbe huo upo nchini kwa ajili ya kuhamasisha ushirikiano katika masuala ya Habari na Mawasiliano hususan kupitia vyombo vya habari ambavyo ni msingi katika kueleimisha umma masuala mbalimbali ya maendeleo. |
Sehemu ya ujumbe ulioambatana na Mhe. Zhaoxing ukifuatilia mazungumzo kati yake na Mhe. Waziri Mahiga |
Sehemu nyingine ya ujumbe kutoka China. |
Mhe. Zhaoxing naye akimweleza jambo Mhe. Waziri Mahiga |
Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Balozi Mbelwa Kairuki (kushoto), Mkuu wa Kitengo cha Mawasilino ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga na Afisa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Halmenshi Lunyumbu wakinukuu mazungumzo kati ya Mhe. Waziri Mahiga na Mhe. Zhaoxing (hawapo pichani). |
Waziri Mahiga akimkabidhi zawadi ya Kahawa na Majani ya Chai yanayozalishwa nchini |
Waziri Mahiga na Mhe. Zhaoxing na wajumbe wengine waliohudhuria mkutano wakiwa katika picha ya pamoja. |
Thursday, August 4, 2016
Waziri Mahiga akutana na Wawakilishi kutoka Taasisi ya Bill na Melinda ya Marekani
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Mwakilishi kutoka Taasisi ya Bill na Belinda Gates ya Marekani, Bi. Rosita Najmi. Katika mazungumzo yao Waziri Mahiga alimweleza Bi. Najmi kuwa Tanzania inathamini mchango unaotolewa na Taasisi ya Bill na Melinda katika miradi mbalimbali ikiwemo kuboresha sekta ya afya na kilimo kwa maendeleo ya Taifa. |
Bi. Rosita akimwelezea namna Taasisi hiyo ilivyojipanga kuendelea kushirikiana na Tanzania. |
Bw. John Ndunguru, Afisa wa Program kutoka Taasisi ya Bill na Melinda naye akichangia jambo. |
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Mindi Kasiga (wa kwanza kulia) akiwa na Bi. Ramla Hamis (katikati) na Bi. Prisca Mwanjesa, Maafisa Mambo ya Nje wakifuatilia mazungumzo ya Dkt. Mahiga na Wawakilishi kutoka Taasisi ya Bill na Belinda Gates (hawapo pichani). |
Mazungumzo yakiendelea |
Picha ya pamoja . |
Subscribe to:
Posts (Atom)