|
Wednesday, December 12, 2012
Naibu Waziri akutana na ujumbe wa Kampuni ya Labiofam kutoka Cuba
Saturday, December 8, 2012
Finland National Day Celebrations
Hon. Angellah Kairuki(left) preparing to toast with Ambassador Sinikka Antila of Finland during Finnish National Day. |
Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC waanza
Baadhi ya Wajumbe kwenye mkutano wa SADC wakisiliza hotuba ya ufunguzi wa mkutano huo kutoka kwa Mhe. Rais Guebuza (hayupo pichani). |
Rais Guebuza (kushoto) ambaye ni Mwenyekiti wa SADC akiteta jambo na Mhe. Rais Museveni (kulia) ambaye pia ni Mwenyekiti wa ICGLR wakati wa mkutano wa SADC. |
Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) (wa pili kushoto), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa na wajumbe wengine wakati wa mkutano wa SADC. |
Wakuu wa Nchi za SADC washiriki hafal ya chakula cha jioni
kwa
Wakuu wa Nchi za SADC wakiwa na mwenyeji wao Mhe. Rais Kikwete wakati wa Hafla ya Chakula cha Jioni. |
Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakiwa Hotelini hapo kutekeleza majukumu ya kiitifaki ya kuhudumia wajumbe wa mkutano. |
Friday, December 7, 2012
Mkutano Maalum wa Wakuu wa Nchi wa SADC waanza kwa kikao cha Troika
Thursday, December 6, 2012
Congratulatory message on the occasion of Finland's National Day
H.E. Jakaya Mrisho Kikwete, the President of the United Republic of Tanzania has sent a congratulatory message to H.E. Sauli Niinistö, the President of the Republic of Finland on the occasion of celebrating Finland's National Day on
6th December, 2012.
The message reads as follows;
President of the Republic of Finland,
Helsinki,
FINLAND
Helsinki,
FINLAND
Your Excellency,
On behalf of the Government and people of the United Republic of Tanzania, and on my own behalf, I wish to extend my sincere greetings to you and through you to the Government and people of Finland on the occasion of your country’s National Day.
We in Tanzania cherish the close ties of friendship, cooperation and partnership that happily exist between our two countries. As you celebrate this important day of your country, I wish to seize this opportunity to reaffirm my personal commitment and that of my Government to continue working closely with you to further strengthen our cordial relations and cooperation for the mutual benefit of our people.
I wish, Your Excellency, personal good health and peace and prosperity for the people of Finland ”.
ISSUED BY: MINISTRY OF FOREIGN AFFAIRS AND INTERNATIONAL COOPERATION, DAR ES SALAAM
05TH DECEMBER, 2012
Wednesday, December 5, 2012
Mhe. Membe azungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Mkutano wa SADC na Meli za Iran
Baadhi ya Waandishi wa Habari wakifurahia jambo wakati wakimsikiliza Mhe. Waziri Membe (hayupo pichani) alipozungumza nao. |
Mhe. Membe akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) |
Mhe. Membe akiendelea na mkutano na Waandishi wa Habari (hawapo pichani) huku Balozi Gamaha akimsikiliza kwa makini. |
Mhe. Waziri Membe akisisitiza jambo kwa Waandishi wa Habari (hawapo pichani) huku Balozi Msechu akitafakari. |
Monday, December 3, 2012
Naibu Katibu Mkuu akutana na Msajili wa MICT
Mhe. Balozi Gamaha akifafanua jambo wakati alipofanya mazungumzo na Bw. Hocking (hayupo katika picha) |
Bw. Hocking (kulia) pamoja na ujumbe wake wakimsikiliza kwa makini Naibu Katibu Mkuu wakati wa mazungumzo yao. |
Msajili wa MICT akitoa maelezo kwa Naibu Katibu Mkuu (hayupo pichani) wakati alipomtembelea ofisini kwake. |
Naibu Katibu Mkuu, Mhe. Gamaha akimsikiliza kwa makini Bw. Hocking. (hayupo katika picha) |
Wajumbe wakimsikiliza kwa makini Mhe. Balozi Gamaha aliye katikati. |
Friday, November 30, 2012
Hafla ya Kufungua Jengo Jipya la Makao Makuu ya EAC
Mhe. Mwai Kibaki, Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa EAC akiwasilisha hotuba yake wakati wa hafla ya ufunguzi wa jengo la Makao Makuu ya EAC mjini Arusha |
Mhe. Rais Kibaki akitoa cheti kwa mmoja wa Wahandisi waliofanikisha ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya EAC mjini Arusha |
Mwakilishi wa Serikali ya Ujerumani naye akitoa hotuba fupi katika hafla hiyo. Serikali ya Ujerumani ndiyo iliyodhamini ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya EAC |
Mhe. Rais Kikwete wa kwanza kushoto akiwa na baadhi ya viongozi wenziwe wa EAC wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa jengo jipya la Makao Makuu ya EAC. |
Mhe. Rais Kikwete (katikati) na Viongozi wenziwe wa EAC wakiwa katika moja ya vyumba vya jengo la Makao Makuu ya EAC mjini Arusha |
Mhe. Rais Kikwete wa pili kutoka kulia akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa EAC mjini Arusha. |
Mwakilishi wa Serikali ya Ujerumani na wa EAC wakiweka saini Mkataba wa kushirikiana kiuchumi kati ya Ujerumani na EAC |
Wanafunzi wa Shule ya Msingi wakitoa burdani wakati wa hafla ya kufungua jengo la Makao Makuu ya EAC mjini Arusha |
Wednesday, November 28, 2012
Rais Kikwete ahutubia Mkutano wa Tatu wa Bunge la Afrika Mashariki
m
Baadhi ya Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki na wageni waalikwa wakimsikiliza Mhe. Rais Kikwete alipowahutubia. |
Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja
na Spika wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki Mhe. Ziwa mbele ya Jengo Jipya la Makao Makuu ya EAC.
|
Subscribe to:
Posts (Atom)