Naibu Waziri wa
Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.)
(katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Dkt. Jose Antonio Fraga
Castro (kushoto), Mkurugenzi wa Kampuni ya LABIOFAM ya Cuba na Mhe.
Jorge Luis Lopez Tormo (wa kwanza kulia), Balozi wa Cuba hapa nchini na wajumbe wengine waliofuatana nao kutoka Cuba . Kushoto ni Bi. Upendo Mwasha, Afisa Mambo ya Nje. |
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.