Mhe. Mahadhi akizungumza na Bibi Mends-Cole mara baada ya kupokea Hati za Utambulisho. |
Bibi Mends-Cole akifafanua jambo kwa Mhe. Maalim wakati wa mazungumzo yao. |
Maafisa kutoka Ofisi za UNHCR hapa nchini waliofutana na Bibi Mends-Cole (hayupo pichani) alipofika Wizarani kuwasilisha Hati za Utambulisho. Kushoto ni Bi. Linmei Li na Bi. Janet Sato-Prima. |
Mhe. Maalim akiagana na Bibi Mends-Cole mara baada ya mazungumzo yao. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.