Sunday, July 22, 2012

Ziara ya Mhe. Membe nchini China




Mhe. Membe akiangalia picha sanifu ya kijiji cha Kiafrika muda mfupi kabla ya kuzindua ujenzi wake.


Mhe. Membe akizindua ujenzi wa Kijiji cha Kiafrika kitakachojengwa na Bw. Lee kwa madhumuni ya kukuza utamaduni na sanaa ya Afrika nchini China. Bw. Lee na mkewe wameishi Tanzania kwa miaka mingi na wameamua kuuenzi utamaduni wa kitanzania na kiafrika ikiwa ni shukrani yao na upendo wao kwa bara la Afrika.



Waziri Membe akifungua maonyesho ya muda ya sanaa za kitanzania jijini Beijing




Waziri Membe akisaini Kitabu cha Wageni, nyuma yake kutoka kulia ni Mmiliki wa Kituo Bw. Lee, Mhe. Balozi Philip Marmo na Mama Lee, Mke wa Mmiliki wa Kijiji cha Kiafrika.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.