Muonekano wa mbele wa Jengo Jipya la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ambalo litafunguliwa rasmi na Wakuu wa Nchi wa EAC siku ya Jumatano tarehe 28 Novemba, 2012 Jijini Arusha. Wanaoonekana kwa mbali ni Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakijiandaa na shughuli za ufunguzi huo. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.