Sunday, December 6, 2020

MKUTANO WA DHARURA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI WA UMOJA WA AFRIKA WAFANYIKA KWA NJIA YA MTANDAO (VIRTUAL MEETING)

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa katika Mkutano wa dharura wa 13 wa Umoja wa Afrika uliofanyika kwa njia ya mtandano            (Virtual Meeting) mkutano uliohusu umuhimu wa mkataba wa eneo huru la biashara la Bara la Afrika. Prof. Palamagamba amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiwa na baadhi ya ujumbe wa Tanzania ulioshiriki katika Mkutano wa dharura wa 13 wa Umoja wa Afrika uliofanyika kwa njia ya mtandano (Virtual Meeting) mkutano uliohusu umuhimu wa mkataba wa eneo huru la biashara la Bara la Afrika. Prof. Palamagamba amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli.


 Baadhi ya Ujumbe wa Tanzania ukifuatilia Mkutano wa 13 wa dharura wa Wakuu wa Nchi na Serikali uliofanyika kwa njia ya mtandao (Virtual Meeting) Katika Mkutano huo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli amewakilishwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) (hayupo pichani)

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.