Monday, December 7, 2020

WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA WA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI WAPIGWA MSASA KUHUSU MANUNUZI YA UMMA

Mkurugenzi wa Rasilimali watu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Alex Mfungo akizungumza na Wakurugenzi Idara na wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki ( hawapo pichani) wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya manunuzi ya Umma yanayofanyika Mkoani Morogoro

Mkurugenzi wa Rasilimali watu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Alex Mfungo akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari kuelezea umuhimu wa mafunzo kuhusu manunuzi ya Umma kwa Wakurugenzi na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yanayofanyika Mkoani Morogoro

Mhasibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw Swalehe Chondoma akizungumza na vyombo vya habari kuhusu umuhimu wa mafunzo ya manunuzi ya Umma kwa Wakurugenzi Idara na Wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yanayofanyika Mkoani Morogoro


Mkurugenzi wa Rasilimali watu katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Alex Mfungo akizungumza na Wakurugenzi wa Idara na Wakuu wa Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya manunuzi ya Umma yanayofanyika Mkoani Morogoro

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.