| Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwasikiza Mhe. Membe na Mhe. Fahmy (hawapo pichani) walipozungumza nao |
| Mhe. Fahmy nae akizungumza wakati wa mkutano huo. |
| Waandishi na Maafisa kazini. |
| Baadhi ya Waandishi wa Habari wakiwasikiza Mhe. Membe na Mhe. Fahmy (hawapo pichani) walipozungumza nao |
| Mhe. Fahmy nae akizungumza wakati wa mkutano huo. |
| Waandishi na Maafisa kazini. |
| Mhe. Fahmy (wa nne kutoka kushoto) kwa pamoja na ujumbe wake wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) wakati wa mkutano wao. |
| Mhe. Membe akizungumza. |
| Mhe. Fahmy akieleza jambo wakati wa mazungumzo. |
| Mhe. Membe na ujumbe wake wakimsikiliza Mhe. Fahmy (hayupo pichani) |
| Ujumbe wa Tanzania wakati wa mazungumzo kati ya Mhe. Membe na Mhe. Fahmy (hawapo pichani) |
| Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Membe na Mhe. Fahmy (hawapo pichani). |
| Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Mhe. Nabil Fahmy (kulia) akiongozana na Mhe. Balozi Moharam mara baada ya kuwasili nchini. |
| Mhe. Fahmy akisalimiana na Maafisa kutoka Ubalozi wa Misri waliopo hapa nchini |
| Mhe. Fahmy akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili nchini. |
| Mhe. Fahmy akimsikiliza Balozi Kibwana wakati akifafanua jambo kwake mara baada ya kuwasili nchini |
| Mhe. Fahmy akizungumza na Balozi Moharam |
| Balozi Moharam akijadili jambo na Balozi Kibwana mara baada ya kumpokea Mhe. Fahmy. |
| Waandishi wa Habari wakifuatilia kwa makini mazungumzo kati yao na Mhe. Membe. |
| Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Lv Youqing akitoa neno la shukrani kwa Benki ya Standard Chartered kwa kuandaa hafla hiyo. |
| Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chartered nchini, Bi. Lizzy Lloyd akizungumza wakati wa hafla hiyo. |
| Wageni waalikwa walioshiriki hafla hiyo. |
| Balozi Gamaha akizungumza na Waandishi wa Habari. |
| Wajumbe kutoka IOM, Ofisi ya Rais Zanzibar na Uhamiaji wakimsikiliza Bibi Jairo (hayupo pichani) wakati wa kikao hicho |
| Mwakilishi kutoka IOM, Bi. Mia Immelback akichangia jambo wakati wa kikao hicho. |
| Bw. Kalumuna akichangia jambo wakati wa kikao hicho.
Picha na Reginald Kisaka.
|
Balozi Gamaha akibadilishana Mkataba huo na Bw. Mathias mara baada
ya kuusaini
|
| Balozi Gmaha akizungumza mara baada ya kusaini mkataba. Kulia ni Mhe. Tuvako Manongi, Balozi wa Tanzania kwenye Uwakilishi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa, New York, Marekani |
| Bw. Mathias kutoka Umoja wa Mataifa naye akizungumza mara baada ya kusaini Mkataba |
| Wajumbe waliokuwepo wakati wa kusainiwa Mkataba
huo
Picha na Reginald Kisaka
|
| Mhe. Rais Kikwete akisalimiana na Balozi wa Canada hapa nchini Mhe. Alexandre Leveque. |
| Mhe. Rais Kikwete katika mazungumzo na Mhe. Paradis. |
| Mhe. Membe katika mazungumzo na Mhe. Paradis. |
| Mhe. Paradis na Ujumbe wake akiwemo Balozi wa Canada hapa nchini Mhe. Alexandre Leveque (wa nne kutoka kushoto) wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) |
| Mhe. Mkuya akiagana na Mhe. Paradis mara baada ya mazungumzo huku Mhe. Membe akishuhudia.
Picha na Reginald Kisaka
|
| Balozi Msechu akibadilishana mawazo na Balozi wa Canada nchini Tanzania, Mhe. Alexandre Leveque |
| Balozi Msechu skizungumza na Mhe. Paradis mara baada ya kumokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam.
Picha na Reginald Kisaka
|