| Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Mhe. Nabil Fahmy (kulia) akiongozana na Mhe. Balozi Moharam mara baada ya kuwasili nchini. |
| Mhe. Fahmy akisalimiana na Maafisa kutoka Ubalozi wa Misri waliopo hapa nchini |
| Mhe. Fahmy akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili nchini. |
| Mhe. Fahmy akimsikiliza Balozi Kibwana wakati akifafanua jambo kwake mara baada ya kuwasili nchini |
| Mhe. Fahmy akizungumza na Balozi Moharam |
| Balozi Moharam akijadili jambo na Balozi Kibwana mara baada ya kumpokea Mhe. Fahmy. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.