Friday, June 10, 2016
Naibu Waziri Kigwangalla ashiriki Mkutano wa ngazi ya juu wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kuhusu UKIMWI
Waziri Mahiga ampokea Mjumbe Maalum kutoka Eritrea
Balozi wa Tanzania nchini Kuwait amtembelea Mkuu wa Itifaki nchini humo
Thursday, June 9, 2016
Wizara ya Mambo ya Nje yafanya mkutano na Vyombo vya Habari
Tuesday, June 7, 2016
JK ataka vijana waaminiwe na kuwezeshwa
Benki ya Exim ya China kushirikiana na Tanzania katika sekta ya viwanda
Mkurugenzi Mtendaji wa Baraza la Biashara la Afrika Mashariki atembelea Wizara ya Mambo ya Nje.
Monday, June 6, 2016
Watafiti kuhusu masuala ya uchaguzi kutoka SADC wawasili nchini
Saturday, June 4, 2016
Mkoa wa Dar es Salaam wasaini hati ya makubaliano ya ushirikiano na Jimbo la JiangSu la nchini China
Waziri Mahiga ashiriki hafla ya kumuaga Balozi wa Oman
Friday, June 3, 2016
Tanzania kuendelea kuimarisha ushirikiano na nchi za Ghuba
Katika mazungumzo yao Waziri Mahiga alimshukuru Balozi kwa kuendeleza ushirikiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Oman, vilevile aliahidi kuendelea kutoa ushirikiano hata kwa Balozi atakaye teuliwa kuja kuiwakilisha nchi ya Oman. kwa upande wa Balozi Al-raqaishi alitumia fursa hiyo kumshukuru Waziri Mahiga na uongozi wote wa Wizara kwa ujumla kwa ushirikiano aliokuwa akipewa kwa kipindi chote cha uwakilishi wa Taifa lake hapa nchini.
Waziri Mahiga na Balozi Al-ruqaishi wakiwa katika picha ya pamoja. |
Waziri Mahiga na Balozi Al suwaidi wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumaliza mazungumzo |
Dkt. Mahiga akimweleza jambo Balozi Al Najem |
Waziri Mahiga akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Al Najem mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. ==== Vilevile Balozi Mahiga alikutana kwa mazungumzo na Balozi wa Qatar ==== |
Mazungumzo yakiendelea |
Waziri Mahiga akiagana na Balozi Al maadadi mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. ==== Mwisho Mhe. Waziri alikutana na kufanya mazungumzo na Kaimu Balozi wa Saudi Arabia ==== |
Mhe. Wajih Alotaabi naye alitoa shukrani kwa ushirikiano ambao amekuwa akipewa na Wizara na Serikali kwa ujumla katika utekelezaji wa majukumu yake. |
Waziri Mahiga akifurahia jambo na Mhe. Wajih Alotaabi mara baada ya kumaliza mazungumzo |
Waziri mahiga katika Picha ya pamoja na Mhe. Alotaabi |
Picha ya Pamoja |
Wanachuo wa Royal Diffence College watembelea Wizara ya Mambo ya Nje.
Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Edward Sokoine, akitoa maelezo ya awali wakati wa kuanza kwa mkutano na wanafunzi wa chuo cha Ulinzi cha Royal College of Diffence Studies kilichopo nchini Uingereza (hawapo pichani), ambao wapo kwenye ziara ya mafunzo katika nchi za Tanzania, Ethiopia na Malawi kwa ajili ya kubadilishana mawazo namna masuala mbalimbali ya kitaifa na kimataifa yanayoibuka hivi sasa yanavyoathiri utulivu, usalama na ustawi wa nchi, kanda na dunia kwa ujumla. Mwingine katika picha ni Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Balozi Samuel Shelukindo.
Baadhi ya wanachuo hao wakisikiliza maelezo kutoka kwa mzungumzaji meza kuu (hayupo pichani). Masuala mbalimbali yalijadiliwa ikiwa ni pamoja na hali ya usalama katika eneo la nchi za maziwa makuu, nafasi ya wakuu wa nchi za Afrika katika utatuzi wa migogoro, uhusiano wa Tanzania na nchi jirani na mikakati ya kukabiliana na ugaidi katika kanda na dunia kwa ujumla.
Baadhi ya wanachuo pamoja na Askari wa JWTZ (waliovaa sare), wakisikiliza maelezo kutoka kwa mzungumzaji meza kuu (hayupo pichani).
Baadhi ya Maofisa wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia kwa makini mazungumzo.Wa kwanza kutoka kulia ni Bi. Olivia Maboko, Bi. Lilian Kimaro na Bi. Mona Mahecha
Mmoja wa wanachuo hao akiuliza swali.
Mkurugenzi wa Idara ya Afrika, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samuel Shelukindo akiendelea kufafanua jambo katika mkutano huo.
Balozi Sokoine, akifafanua jambo.
Kikao kikiendelea.
======================
PICHA NA: REUBEN MCHOME.
Press Release
PRESS
RELEASE
VACANCY
ANNOUNCEMENT FROM THE WORLD METEOROLOGICAL ORGANIZATION (WMO)
The Ministry of
Foreign Affairs and East African Cooperation has received Vacancy Notice No.
1962 for the post of Chief Human Resources
Division from the World Meteorological Organization (WMO) for qualified
individuals to apply.
The deadline for
application is 14th June,
2016. The Ministry encourages qualified Tanzanians to apply.
Issued by:
The Ministry of
Foreign Affairs and East African Cooperation, Dar es Salaam.
03th June, 2016
Thursday, June 2, 2016
Waziri Mahiga ahitimisha Mkutano kuhusu Utawala wa Sheria
Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Baraka Luvanda akifuatilia hotuba ya Mhe. Waziri Mahiga (hayupo pichani) |
Waziri Mahiga akiwa na Balozi wa Italia hapa nchini, Mhe. Luigi Scotto (katikati) pamoja na Afisa katika Ubalozi huo |
Mhe. Waziri Mahiga akisalimiana na Afisa Mwandamizi kutoka Ubalozi wa Burundi hapa nchini |
Waziri Mahiga akizungumza na waandishi wa habari |
Subscribe to:
Posts (Atom)