Monday, January 30, 2023

DIPLOMATIC CORPS IN TANZANIA REMINDED TO OBSERVE THE VIENNA CONVENTION

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (katikati), Naibu Waziri Mhe. Balozi  Mbarouk Nassor Mbarouk (kushoto) na Naibu Katibu Mkuu Balozi Fatma Rajab (kulia) wakiwa kwenye Mkutano na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma.
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Fatma Rajab  akizungumza wakatika wa Mkutano kwenye Mkutano baina ya Wizara na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) akizungumza  kwenye Mkutano baina ya Wizara na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma.
Sehemu ya Mabalozi wa Wakifuatilia Mkutano 
Sehemu ya Mabalozi wa Wakifuatilia Mkutano 
Mkutano baina ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini ukiendelea jijini Dodoma
Mkutano baina ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini ukiendelea jijini Dodoma
Balozi wa Rwanda hapa nchini Mhe. Meja Jenerali Charles Karamba akichangia jambo  kwenye Mkutano baina ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma. 
Balozi wa Ujerumani hapa nchini Mhe. Regine Hess akichangia jambo  kwenye Mkutano baina ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma
Sehemu ya Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia Mkutano baina ya Wizara na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma.
Sehemu ya Wakuu wa Idara na Vitengo wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia Mkutano baina ya Wizara na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma.
Balozi wa Rwanda hapa nchini Kanali Mstaafu Fredy Mwesigye akichangia jambo  kwenye Mkutano baina ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma. 
Sehemu ya Mabalozi wa Wakifuatilia Mkutano 
Mwakilishi wa Ubalozi wa Marekani hapa nchini akichangia jambo kwenye Mkutano baina ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma
Meza Kuu wakiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini mara baada ya Mkutano baina  yao, Wizara na Wawakilishi wa Mashirika ya  Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma.
Meza Kuu wakiwa katika picha ya pamoja na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa hapa nchini mara baada ya Mkutano baina yao, Wizara na Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao hapa nchini uliofanyika jijini Dodoma
Meza Kuu wakiwa katika picha ya pamoja na Menejimenti ya Wizara 
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) akizungumza  na Waandishi wa Habari mara baada ya  Mkutano baina ya Wizara na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb) akifafanua jambo kwenye Mkutano baina ya Wizara na Mabalozi na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa waliopo nchini uliofanyika jijini Dodoma.





 

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.