Saturday, January 7, 2023

DKT. TAX AWATAKA WATUMISHI KUBORESHA UTENDAJIWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akizungumza wakati wa mkutano wake wa kwanza na Watumishi wa Wizara hiyo tangu kuteuliwa kwake kwenye wadhifa huo mwezi Oktioba 2022. Mkutano huo umefanyika jijini Dodoma tarehe 06 Januari 2023
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax akizungumza wakati wa mkutano wake wa kwanza na Watumishi wa Wizara hiyo tangu kuteuliwa kwake kwenye wadhifa huo mwezi Oktioba 2022. 

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akizungumza kumkaribisha Waziri Dkt Tax wakati wa mkutano  na Watumishi wa Wizara hiyo.

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Balozi Joseph Sokoine akizungumza  wakati wa mkutano  na Watumishi wa Wizara hiyo na Waziri Dkt Tax

Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Bw. Alex Mfungo akizungumza  wakati wa mkutano  na Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Waziri Dkt Tax

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk akiwa  na Naibu Katibu Mkuu, Balozi Fatma Rajab wakati wa mkutano kati ya Mhe. Dkt. Tax  na Watumishi wa Wizara hiyo.

Mtaalam wa masuala ya Saikolojia kutoka Hospitali ya Benjamin Mkapa ya jijini Dodoma, Dkt. Mohammed akitoa mada kuhusu UKIMWI na Magonjwa yasiyoambukiza wakati wa mkutano wa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki

Mtoa Huduma za Kibenki kutoka Benki ya Stanbic akitoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa na benki hiyo kwa Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakati wa kikao kati ya Watumishi hao na Waziri Mhe. Dkt Tax
Mwenyekiti wa TUGHE Tawi la  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Pili Sukwa akitoa neno la shukrani wakati wa mkutano kati ya Watumishi wa Wizara na  Mhe. Dkt. Tax 

Mshereheshaji Bi. Semeni Nandonde akitoa maelezo ya ratiba kuhusu mkutano kati ya Mhe. Dkt. Tax na Watumishi 

Wakurugenzi wa Idara mbalimbali katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia mkutano kati yao na  Mhe. Dkt. Tax 

Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia mkutano kati yao na  Mhe. Dkt. Tax 

Picha ya pamoja 

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.