Thursday, January 10, 2013

Rais Zuma awasili kuhudhuria SADC-TROIKA

Rais wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma akiteremka kutoka kwenye ndege mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya SADC

Mhe. Zuma akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Mathayo David Mathayo ambaye alikuwa Uwanjani hapo kwa ajili ya kumpokea

Mhe. Rais Zuma akifuatana na Mhe. Mathayo mara baada ya kuwasili


Gwaride la Heshima kwa ajili ya Mhe. Rais Zuma

Mhe. Rais Zuma akipita katikati ya Gwaride lililoandaliwa kwa heshima yake.


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.