| "Brass Band" ikiongoza maandamano kutokea Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuelekea Viwanja vya Karimjee kwa ajili ya kuadhimisha miaka 50 OAU/AU. |
| Mhe. Membe akishiriki maandamano hayo. |
| Mhe. Membe, Mabalozi, wananchi na wageni waalikwa wakiwa katika maandamano hayo kuadhimisha miaka 50 ya Umoja wa Afrika |
| Picha zaidi za maandamano. |
| Mhe. Membe akisikiliza Wimbo wa Taifa na AU zilizopigwa kuadhimisha miaka 50 ya umoja huo |
| Picha zaidi wakati wa wimbo wa Taifa |
| Mhe. Membe, Mabalozi, na Viongozi wengine wakiangalia burudani kutoka vikundi mbalimbali vya utamaduni vilivyopamba maadhimisho hayo |
| Kikundi cha utamaduni kikitumbuiza. |
| Kikundi kingine cha burudani kilichopamba sherehe hizo. |
| Burudani ikiendelea. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.