Thursday, August 26, 2021

MABALOZI WAWASILISHA HATI KWA RAIS SAMIA

 

Balozi wa Jamhuri ya Colombia mwenye makazi yake nchini Kenya Mhe. Monica Greiff Lindo akiwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2021



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Colombia nchini nchini Mhe. Monica Greiff Lindo baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26,2021

Balozi wa Jamhuri ya Australia nchini mwenye makazi yake nchini Kenya Mhe. Luke Joseph Williams akiwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Australia hapa nchini Mhe. Luke Joseph Williams baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam  Agosti 26,2021


Balozi wa Jamhuri ya Czech mwenye makazi yake nchini Kenya Mhe. Martin Kleptiko akiwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2021

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Balozi wa Jamhuri ya Czech hapa nchini Mhe. Martin Kleptiko, mara baada ya kupokea Hati ya utambulisho kutoka kwa Balozi huyo Ikulu Jijini Dar es Salaam  Agosti 26,2021

 

Balozi wa Chile mwenye makazi yake nchini Kenya Mhe. Maria Alejendra Ferraz de Andrade akiwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2021


Balozi wa Belarus mwenye makazi yake nchini Kenya Mhe. Pavel Vziatkin akiwasilisha Hati za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 26, 2021

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.