Mazungumzo yakiendelea |
Wakiwa katika picha ya pamoja |
Mazungumzo yakiendelea |
Wakiwa katika picha ya pamoja |
Mhe. Yahel akimweleza Waziri Mahiga namna Serikali ya Israel ilivyofanikiwa katika miradi ya kilimo na umwagiliaji ambayo imesaidia katika kuwahakikishia wananchi wake upatikanaji wa chakula. |
Mazungumzo yakiendelea |
Wakijadili jambo mara baada ya mazungumzo |
Bw. S. Rajamohan akielezea namna kampuni ya SMH RAIL inavyofanya shughuli zake na utayari wao wa kuja kuwekeza nchini. |
Mazungumzo yakiendelea |
Mhe. Waziri Mahiga akizungumza na Bw. Dunford mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho |
Bw. Dunford nae akimweleza jambo Mhe. Waziri |
Mazungumzo kati ya Mhe. Mahiga na Bw. Dunford yakiendelea. Wengine katika picha ni Bi. Eva Ng'itu (kushoto) na Bi. Sekela Mwambegele, Maafisa Mambo ya Nje. |
Mkutano huo ukiendelea |
Mhe. Haule akiongea wakati wa hafla ya kumuaga jana. Kushoto ni mkewe Mary. |
Mhe. Balozi Haule (aliyeketi katikati) katika picha ya pamoja na Maofisa Ubalozi. Kushoto ni Mama Mary Haule na Kulia ni Mkuu wa Utawala Ubalozini, Bi. Talha Waziri. |
Mwakilishi wa Watanzania waishio Kenya, Bw. Victor Matemba akitoa salamu zao kwa Mhe. Haule. |
Mhe. Haule na mkewe katika picha ya pamoja na watumishi wa Ubalozi wanaotoka Kenya (Local staff). |
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10, 2016. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dr. Adelhem Meru na wapili kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe. |
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agost 10, 2016 . Kulia ni Balozi wa China nchini, Dkt Lu Youqing na kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe. |
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agost 10, 2016. |
Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo eneo la EPZ,Mabibo External jijini Dar es salaam baada ya kutembelea kiwanda hicho na kuzungumza, Agosti 10,2016. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhem Meru na kulia kwake ni Balozi wa China nchini, Dkt. Lu Youqing. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10, 2016. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dr. Adelhem Meru na wapili kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe.
|
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agosti 10, 2016. Kulia kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dr. Adelhem Meru na wapili kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ushonaji wa suruali za Jeans wakati alipotembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agost 10, 2016 . Kulia ni Balozi wa China nchini, Dkt Lu Youqing na kushoto ni Meneja Mkuu Msaidizi wa kiwanda hicho, Rigobert Massawe. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kutembelea kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo kwenye eneo la EPZ, Mabibo External jijini Dar es salaam Agost 10, 2016. |
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa kiwanda cha kushona nguo cha Tooku kilichopo eneo la EPZ,Mabibo External jijini Dar es salaam baada ya kutembelea kiwanda hicho na kuzungumza, Agosti 10,2016. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhem Meru na kulia kwake ni Balozi wa China nchini, Dkt. Lu Youqing. |

Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi, Anisa Mbega (katikati) akiongoza kikao cha maandilizi ya Kongamano la tatu la Diaspora kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, pembeni yake ni wajumbe wengine wa meza kuu. Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika Zanzibar tarehe 24 – 25 Agosti, 2016 |
Sehemu ya wajumbe wakifuatilia wakifuatilia kikao kwa makini |
Sehemu nyingine ya wajumbe wakifuatilia kikao |
Mwakilishi wa Diaspora Italy na VICOBA International Bw. Mwinyimwaka Hatibu akichangia jambo kwenye kikao cha maandilizi ya Kongamano la tatu la Diaspora kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Kongamano hilo linalotarajiwakufanyika Zanzibar tarehe 24 – 25 Agosti, 2016 |