Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Korea wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya kukamilisha mazungumzo ya kikazi. Wakwanza kulia ni Mheshimiwa Balozi Matilda Masuka, Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini, Bi. Bertha Makilagi, afisa dawati wa Korea Kusini, Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Park Young min, Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Afrika, Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kusini na Bi. Mindi Kasiga, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.