Prof. Kabudi afanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Baraza la Ushauri la Bunge la jimbo la Zhejiang nchini China
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) amekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa wafanyabiashara katika jimbo la Zhejiang, China jimbo embalo ni la nne kwa uchumi miongoni mwa majimbo ya China.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akiendelea kuzungumza na Mhe. Bi. GE Huijun pamoja na ujumbe alioambatana nao.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akimkabidhi zawadi ya picha ya kuchora ya Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro Bi. GE Huijun ambaye alionekana kuifurahia sana.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.