Sunday, September 2, 2018

Waziri Mkuu akutana na Watendaji wa Kampuni kubwa za China

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kampini ya NORINCO ya nchini China, Bw. Zhang Gaunjie alipokutana naye kwa mazungumzo kuhusu uwekezaji nchini Tanzania.Mhe. Waziri Mkuu yupo nchi China kwa ajili ya kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya Afrika  na China (FOCAC) unaotarajiwa kufanyika tarehe 3 na 4 Septemba, 2018 jijini Beijing
Mhe. Waziri Mkuu akimkabidhi Bw. Gaunjie kitabu chenye taarifa kuhusu uwekezaji nchini Tanzania



Mhe. Waziri Mkuu akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Kampuni ya Zinjin Gold Mine ya nchini China, Bw. George Fang ambayo imewekeza katika uchimbaji na uchakataji wa madini ya dhahabu, shaba na zinki katika nchi tisa duaniani. Kampuni hiyo imeonesha nia ya kuja kuwekeza nchini kwenye sekta ya madini.
Ujumbe wa Tanzania ukifatilia mazungumzo kati ya Waziri Mkuu na Rais wa Kampuni ya Zinjin Gold Mine 


Mazungumzo yakiendelea
Mhe. Waziri Mkuu akiwa kwenye mazungumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya GNSG ambao wana nia ya kuwekeza katika maeneo ya viwanda (Industrial Parks)
Balozi wa Tanzania nchini China, Mhe. Mbelwa Kairuki akiteta jambo na Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania, Bw. Geofrey Mwambe. Pembeni ni Bibi Justa Nyange, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia


Mhe. Waziri Mkuu akizungumza na Mwenyekiti wa Kampuni ya Syngning Guangzhou ya nchini China, Bw. WU Haineng. Kampuni ambao wana nia ya kufanyabiashara na Tanzania katika zao la mhogo


========================================================
WAZIRI MKUU AKUTANA NA WATENDAJI WA KAMPUNI KUBWA ZA CHINA

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Watendaji Wakuu wa Kampuni kubwa za China kwa lengo la kujadiliana nao kuhusu ushirikiano kati ya Tanzania na Kampuni hizo.

Mhe. Majaliwa ambaye yupo nchini China akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwenye Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jukwaaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) utakaofanyika tarehe 3 na 4 Septemba, 2018, ametumia fursa hiyo kukutana na  Watendaji hao katika hatua za kuhamasisha uwekezaji, biashara na maendeleo nchini.

Katika mkutano wake na Rais wa Kampuni ya NORINCO (China North Indust Bw. Zhang Gaunjie, Mhe. Waziri Mkuu amepongeza uwekezaji wa Kampuni hiyo nchini hususan kwa kuwa na miradi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania na kuikaribisha kuwekeza zaidi katika maeneo mengine hususan ujenzi wa miundombinu hasa ya Makao Makuu ya nchi. Mhe. Waziri Mkuu alimweleza Rais huyo kuwa, Tanzania inahitaji teknolojia ya kisasa ili kuwezesha ujenzi wa nyumba za gharama nafuu kwa ajili ya makazi hususan kwa Watumishi wa Serikali ambapo sasa Serikali imehamishia Makao Makuu Dodoma.

Kwa upande wake Bw. Zhang Ghaujie alieleza kuwa  Kampuni ya NORINCO ambayo imewekeza kwa kiasi kikubwa katika miradi ya Jeshi la Wanachi Tanzania, sasa ipo tayari kushiriki kwenye miradi mingi Zaidi nchini hususan ile ya ujenzi na kwamba kutokana na  uwezo na uzoefu mkubwa wa Kampuni hiyo katika sekta ya ujenzi itashirikiana na Tanzania kwenye miradi ya ujenzi wa makao makuu na bomba la mafuta.

“NORENCO  ipo tayari kuongeza maeneo ya ushirikiano na Tanzania na inao uwezo wa kushiriki katika kazi za ujenzi hususan kwenye miradi kama bomba la mafuta na Makao Makuu ya nchi” alisema Rais huyo.

Wakati huo huo, Waziri Mkuu amekutana na kufanya mazugumzo na Mwenyekiti wa Kampuni ya HEGNYA Cement, ambayo imeonesha nia ya kuja nchini kuwekeza kwenye ujenzi wa Kiwanda kikubwa cha saruji na Eneo la Viwanda (Indusrial Park) Mkoani Tanga. Kukamilika kwa mradi huo kutaongeza uzalishaji wa saruji nchini kwa tani milioni 7 kwa mwaka na kuzalisha ajira kwa Watanzania 4000.

Waziri Mkuu pia alipata fursa ya kukutana na Rais wa Kampuni ya Zinjin Gold Mine, Bw. George Fang. Katika mazungumzo yao, Mhe. Waziri Mkuu alimkaribisha kuja kuwekeza kwenye uchimbaji na viwanda vya uchakataji wa madini hususan Tanzanite. Mhe. Waziri Mkuu alimweleza kuwa madini ya Tanzanite ambayo yanapatikana Tanzania pekee yanahitaji mwekezaji makini ambaye atachimba, kuchakata na kuongeza thamani madini hayo kwa faida ya Tanzania.

“Tanzanite inapatikana Tanzania pekee. Tunatafuta mwekezaji makini wa kuchimba na kuchakata madini hayo ili kuona faida ya madini hayo muhimu kwa Tanzania” alisema Waziri Mkuu.

Kwa upande wake, Bw. Fang alimweleza Waziri Mkuu kuwa, kampuni ya Zijin ambayo imewekeza kwenye uchimbaji mkubwa wa madini ya dhahabu, shaba na zinki ipo tayari kuja nchini kuwekeza kwenye uchimbaji wa madini hayo chini ya Sheria Mpya ya Madini ya Tanzania. Pia alifurahishwa na taarifa ya Waziri Mkuu kuhusu uchimbaji wa madini ya Tanzanite na kumhakikishia kuwa kampuni yake inao uwezo wa kutafiti, kuchimba, kuchakata, kuongeza thamani na kutafuta masoko kwa madini yoyote ikiwemo Tanzanite.

“Kampuni ya Zijin Gold Mine ni Kampuni kubwa, inamiliki migodi katika majimbo 20 nchini China na imewekeza kwenye nchi 9 duniani. Ni ya pili katika uzalishaji wa  madini ya Zinki na inashikilia nafasi ya tatu katika uzalishaji wa shaba. Tunaona ni fursa muhimu kuja kuwekeza katika sekta ya madini nchini Tanzania. Tunahitaji ushirikiano wa kimkakati katika sekta ya madini ambao utafuata misingi ya uwazi kwa faida ya kila mmoja” alisisitiza Rais huyo.

Wakati huohuo, Mhe. Waziri Mkuu alizungumza na kumshukuru kwa kazi nzuri Rais wa Kampuni ya CCECC, ambayo inatekeleza miradi ya maendeleo nchini ukiwemo mradi wa Ubungo Interchange, ukarabati wa Reli ya Kati na Mradi mkubwa wa maji kwenye Wilaya ya Mwanga mkoani Kilimanjaro. Pia alimtaka kukamilisha miradi haraka na kuongeza miradi zaidi kwenye ujenzi wa maeneo ya viwanda kwa ajili ya uwekezaji kwenye sekta ya kilimo hususan kwenye zao la korosho. Rais huyo alimhakikishia Waziri Mkuu kuwa, Kampuni yake itakamilisha miradi yote kwa wakati kama ilivyokubaliana na Serikali ukiwemo Mradi wa Ubungo, ambao utakamilika ifikapo mwezi Juni 2020.

Aidha, kampuni hiyo imeahidi kuongeza uwekezaji Tanzania huku wakitoa kipaumbele cha ajira kwa Watanzaia na kutumia rasilimali za Tanzania ili kutoa mchango mkubwa wa maendeleo ya nchi. Kampuni ya CCECC imewekeza Tanzania miradi yenye thamani ya takribani dola za Marekani bilioni 1.5 na kutoa fursa za ajira kwa Watanzania zaidi ya 4000.


Katika mkutano wake na Mwenyekiti wa Kampuni ya GNSG (Guangdong New South Group) ambayo ina nia ya kuwekeza kwenye ujenzi wa Eneo ya Viwanda (Industrial Parks) nchini,  Mhe. Waziri Mkuu alimhakikishia kuwepo kwa maeneo ya uwekezaji wa aina hiyo katika mikoa yote ya Tanzania na kumwagiza Mkurugenzi Mkuu wa Ukanda Maalum wa Uwekezaji (EPZA), Bw. Joseph Simbakalia kuhakikisha anaipatia Kampuni hiyo taarifa kamili za maeneo ya uwekezaji wa viwanda nchini ili kuwawezesha kufanya maamuzi haraka ya kuja nchini.

-Mwisho-

Friday, August 31, 2018




TAARIFA KWA UMMA

KUHUSU MATOKEO YA AWALI YA NAFASI ZA AJIRA KATIKA SERETARIETI YA SADC ZILIZOTANGAZWA KWA MWAKA 2018.                                            

Sekretarieti ya SADC ilitangaza nafasi 50 katika kada mbalimbali mwezi wa Mei, 2018. Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utmishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) ilitangaza nafasi hizo kupitia vyombo mbalimbali vya habari.

Wizara inapenda kuutangazia umma kuwa baada ya mchujo wa duru ya kwanza uliofanywa na Kikosi Kazi Maalum, jumla ya waombaji 141 kati ya waombaji 1,472 wamepita katika uchambuzi wa awali. Katika muktadha huo, Wizara inaweka orodha ya awali ya mchujo wa Tanzania ya waombaji waliochaguliwa katika nafasi mbalimbali pamoja na jedwali lenye kuonyesha idadi ya waombaji hao.

Wizara inapenda kuutaarifu umma na waombaji wa nafasi za ajira zilizotangazwa na SADC kuwa taarifa zaidi itatolewa na Sekretarieti ya SADC kwa wale tu watakao kuwa kwenye orodha ya mchujo wa duru ya pili (shortlisted) utakayofanywa na Sekretarieti ya SADC.

Aidha, tutakumbuka kuwa mwezi wa Mei, 2017 Sekretarieti ya SADC ilitangaza nafasi 44 ambapo zoezi la usaili wake lilikamilika mwaka huu. Kwenye nafasi 44, Tanzania imefanikiwa kupata nafasi tano za kimkakati na maafisa hao tayari wamesharipoti kwenye kituo chao cha kazi Gaborone, Botswana. Nafasi hizo zinaainishwa kama ifuatavyo:

i.    Afisa Mwandamizi anayeshughulikia masuala ya Sera na Mikakati ya Maendeleo, (Senior Officer - Policy and Strategy Development);

ii.    Afisa Mwandamizi Mipango anayeshughulikia masuala ya Viwanda na Ushindani, (Senior Programme Officer - Industrialization and Competitiveness);

iii.   Afisa Mipango anayeshughulikia masuala ya Ushuru na Utaratibu, (Programme Officer Customs and Procedures);

iv.   Afisa anayeshughulikia masuala ya Ufuatiliaji, Tathmini na utoaji wa Taarifa, (Monitoring, Evaluation and Reporting Officer); na
v.    Afisa Fedha anayeshughulikia masuala ya Hazina na Bajeti, (Finance Officer - Treasury and Budget )

Tunawapongeza kwa dhati wote waliochaguliwa na kufanikiwa kuingia kwenye orodha ya mchujo wa awali uliofanyika Tanzania kwa mwaka 2018.  
Aidha, kwa aina ya pekee, tunawapongeza maafisa waliochaguliwa kwenye nafasi tano (5) zilizotajwa na tunawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya sambamba na kuwasihi daima kukumbuka kuwa wanaliwakilisha Taifa letu kwenye nafasi hizo.
Mwisho, Wizara inapenda kutaarifu kuwa itaendelea kuzitangaza fursa kama hizi zitapojitokeza kupitia SADC na Jumuiya zingine za Kikanda na Kimataifa ambazo Tanzania ni nchi mwanachama, kwa manufaa ya watanzania wote. Hivyo, tunawaomba Watanzania wasikate tamaa na wasisite kuwasilisha maombi ya ajira kama hizi pale fursa zinapojitokeza.


Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dar es Salaam,
27 Julai, 2018



LIST OF APPLICANTS FOR JOB POSTS ADVERTISED BY SADC SECRETARIAT

1. SENIOR LEGAL COUNSEL

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
John Nzunda
Senior Legal Counsel
2
Kitandu Paulo Ugula
Senior Legal Counsel
3
Phines Leonard Matto
Senior Legal Counsel
4
Edson Rwechungura
Senior Legal Counsel



2. HEAD CIVILIAN

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Naomi Z. Mpemba
Head Civilian
2
Josey Stephen Mwakasyuka
Head Civilian
3
Minja Tumaini Anthony
Head Civilian



 3. SENIOR OFFICER- DISSASTER RISK REDUCTION

S/N
NAME
POST APPLIED               
1.
Dismas Laurean Mwikila
Senior Officer- Dissaster Risk Reduction Grade-7
2
Alfei Daniel
Senior Officer- Dissaster Risk Reduction Grade-7
3
Danford E. Manyema
Senior Officer- Dissaster Risk Reduction Grade-7
4
Egidius D. Nyetabula
Senior Officer- Dissaster Risk Reduction Grade-7


 4. SENIOR PROGRAMME OFFICER HEALTH AND NUTRITION

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Rehema Idriss Mzimbiri
Senior Programme Officer Health and Nutrition
2
Dr. Dominic Franklin Mosha
Senior Programme  Officer Health and Nutrition 
3
Dr. Janet Mwambona
Senior Programme  Officer Health and Nutrition 
4
Coline Mahende
Senior Programme  Officer Health and Nutrition 


 5.SENIOR OFFICER INTERNAL AUDIT

S/N
NAME
POST APPLIED           
1.
Noah Mgana

Senior Internal Auditor
2
UphooSwai
Senior Internal Auditor

6.SENIOR OFFICER – ICT- GRADE 4

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Alex David Mhagama
Senior Officer - ICT
2
Elizabeth Sylvester Mkoba
Senior Officer - ICT
3
Joan K. Rwegalulira
Senior Officer - ICT
4
Keneth L. Mlelwa
Senior Officer - ICT

7. SENIOR OFFICER LEARNING, DEVELOPMENT AND PERFORMANCE MANAGEMENT

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Denis KigoiMbaga
Senior Officer-Learning Development and Performance Management
2
SakinaB.Mwinyimkuu
Senior Officer-Learning Development and Performance Management
3
Josephine RogateKimaro
Senior Officer-Learning Development and Performance Management
4
Ahmada Suleiman
Senior Officer-Learning Development and Performance Management


 8.SENIOR OFFICER ADMINISTRATION

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Lilian Amri
Senior  Officer Administration
2
Anicia Ng’weshemi
Senior  Officer Administration
3
Dr. Edith M. Rwiza
Senior  Officer Administration
4
Devine Mbuya
Senior  Officer Administration

 9.SENIOR OFFICER RESEARCH AND STATISTICS

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
AbdallahAthumani Mhagama
Senior Officer Research and Statistics
2
William H Matee
Senior Officer Research and Statistics
3
Zakayo Elisa Msokwa
Senior Officer Research and Statistics
4
Bahati Marcel Ilembo
Senior Officer Research and Statistics


 10.SENIOR PROGRAMME OFFICER EDUCATION SKILLS AND DEVELOPMENT




S/N
NAME
POST APPLIED
1
Samson M. Bishati
Senior Programme Officer Education and Skills Development
2
Dkt. Elia Y.K. Kibga
Senior Programme Officer Education and Skills Development
3
Maria T. Mdachi
Senior Programme Officer Education and Skills Development

11.SENIOR PROGRAMME OFFICER WATER

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
John S. Msengi
Senior  Progamme Officer Water
2
Omari R. Mwinjaka
Senior  Progamme Officer Water
3
Mwanamkuu Mwanyika
Senior  Progamme Officer Water
4
Aron Swai
Senior  Progamme Officer Water

12. SENIOR PROGRAMME OFFICER FOOD SECURITY AND AGRICULTURE

S/N
NAME
POST APPLIED            
1
TheophordCosmasNdunguru
Programme Officer Food Security and Agriculture
2
AbeidMsangi
Programme Officer Food Security and Agriculture
3
DeagratiusNshoroLwezaura
Programme Officer Food Security and Agriculture
4
Joseph William Maziku
Programme Officer Food Security and Agriculture


S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Sayumwe Jasson Yotham
Senior Programme Officer - ICT
2
Cecil Nkomola Francis
Senior Programme Officer - ICT
3
Engelbert Linus Chuwa
Senior Programme Officer - ICT
4
Magori Alphonce
Senior Programme Officer - ICT


 14. SENIOR PROGRAMME OFFICER MACROECONOMIC CONVERGENCE 

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Juvenal Lema
Senior Programme Officer Macroeconomic Convergence
2
Michael Kadebe
Senior Programme Officer Macroeconomic Convergence
3
Allan SyrilMhula
Senior Programme Officer Macroeconomic Convergence


 15.  SENIOR PROGRAMME OFFICER SCIENCE TECHNOLOGY AND INNOVATION

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Kenneth Longo Mlelwa
Senior Programme Officer Science Technology and Innovation
2
Maskat Erick Mliwanga
Senior Programme Officer Science Technology and Innovation
3
SayuniMbwilo
Senior Programme Officer Science Technology and Innovation

16. AUC LIAISON SENIOR OFFICER

S/N
NAME
POST APPLIED             
1
Benedict Theresia Msuya
AUC Liaison Senior Officer
2
Eustace Damian Lubuva
AUC Liaison Senior Officer
3
Jossey Stephen Mwakasyuka
AUC Liaison Senior Officer
4
Jacob Joachim Lisakafu
AUC Liaison Senior Officer


 17. SENIOR PROGRAMME OFFICER -INVESTMENT AND FINANCE

S/N
NAME
POST APPLIED     
1
KabulaIreneMulihano
Senior Programme Officer -Investment And Finance


18. SENIOR OFFICER RENUMERATION, RECRUITMENT AND RELATIONS

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Edith Martin Rwiza
Senior Officer Renumeration, Recruitment and Relations
2
Denis KigoiMbaga
Senior Officer Renumeration, Recruitment and Relations
3
Neema Mourice Mhagama
Senior Officer Renumeration, Recruitment and Relations
4
Justine  S Rumanyika
Senior Officer Renumeration, Recruitment and Relations

19.SENIOR PROGRAMME OFFICER TRADE

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
James HeriMackav
Senior Programme Officer Trade
2
Aneth Eli Simwela
Senior Programme Officer Trade
3
MguneMasatuMgune
Senior Programme Officer Trade


 20. SENIOR PROGRAMME OFFICER EX-SITU CONSERVATION (SPGRC)

S/N
Name
Post Applied            
Comments
1
LouranceNjopilaiMapunda
Senior Programme Officer Exisitu Conservation Sadc Plants Genetic Resource Centre (Spgrc)

2
MujuniSospeterKabululu
Senior Programme Officer Exisitu Conservation SadcPlants Genetic Resource Centre (Spgrc)

3
VettesKalema
Senior Programme Officer Exisitu Conservation Sadc Plants Genetic Resource Centre (Spgrc


21. FINANCE OFFICER – PROJECT AUDITS AND COMPLIANCE

S/N
NAME
POST APPLIED
1.
Samwel John
Finance Officer Projects Audits and Compliance
2
Mkufya H. Matope
Finance Officer Projects Audits and Compliance
3
Neema S. Umbellah Beda
Finance Officer Projects Audits and Compliance
4.
Kauthar  Othman
Finance Officer Projects Audits and Compliance

22. OFFICER RESEARCH AND STATISTICS

S/N
NAME
POST APPLIED        
1
Shadrack Elia Kibona
Officer Research And Statistics
2
Mohamed Mbwana Mlanzi
Officer Research And Statistics
3
Suleiman Follogo Biki
Officer Research And Statistics
4
Christopher Onesmo Sanga
Officer Research And Statistics

23.PROGRAMME OFFICER HIV AND AIDS

S/N
NAME
POST APPLIED       
1.
Dr. Majaliwa Gerald Marwa
Programme Officer Hiv And Aids

2
JaivingChapaulinjiKazitanga
Programme Officer HIV and Aids
3
Siril Michael Kullaya
Programme Officer HIV and Aids
4
Yahaya Musa Mmbaga
Programme Officer HIV and Aids

24. PROGRAMME OFFICER GENDER MAINSTREAMING

S/N
NAME
POST APPLIED       
1
LucasKisimboMkwizu
Programme Officer Gender Mainstreaming
2
DorahG.Neema
Programme Officer Gender Mainstreaming
3
MwajumaLugendo
Programme Officer Gender Mainstreaming
4
JovinFaustineMwehozi
Programme Officer Gender Mainstreaming


No.
NAMES AND CONTACT
POST APPLIED
1
Nickson Jackson
P.O Box 90180 DSM
Mobile  0713899042    
Internal Auditor
2
Grace SangiwaSimba
P.O Box 3163  Dar es Salaam
Mobile  0717810950   E-mail:              
Internal Auditor
3
AmnonMwasakatili
P.O Box 9080 Dar es Salaam
Mobile  0768631776  
Internal Auditor
4
WaziriShabani
P.O Box 174 Mwanza
Mobile  0717112689  
E-mail: waziri.shabani@gmail.com
Internal Auditor
























26. IT SUPPORT OFFICER – SADC REGIONAL PEACEKEEPING \
TRAINING CENTRE (RPTC) (HARARE, ZIMBABWE) – GRADE 6

S/N
NAME
POST APPLIED          
1
Boniphace Peter Mtakwa
IT Support Officer 
2
Adam Pharouk Musa
IT Support Officer
3
Geofrey Bukuku Mwakijungu
IT Support Officer
4
Lina Rujweka
IT Support Officer

27. LIAISON OFFICER DISASTER RISK REDUCTION

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Lawrence Mtui
Liaison Officer Disaster Risk Reduction 
2
Alfei Daniel
Liaison Officer Disaster Risk Reduction 
3
Masoud Makame Faki
Liaison Officer Disaster Risk Reduction 
4
Jacqueline Colleta Dominic Mwakanga
Liaison Officer Disaster Risk Reduction 

 28.ELECTIONS AND GOOD GOVERNANCE OFFICER

S/N
NAME
POST APPLIED
1
Dr. Victor Rugumamu
Election and Good Governance Officer
2
Raymond Maro
Election and Good Governance Officer
3
Ahmed Nyang’anyi
Election and Good Governance Officer
4
Msemo S. Mavare
Election and Good Governance Officer

29.MEDIATION AND PEACE BUILDING OFFICER 

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Thomas C. Munzerere
Mediation and Peace Building Officer 

2
Paul J. Makelele
Mediation and Peace Building Officer 
3
Zulekha Fundi
Mediation and Peace Building Officer 
4
Evance Siangicha
Mediation and Peace Building Officer 

30.OFFICER –LOGISTICS 

S/N
NAME
POST APPLIED
1
Joan Thobias
Officer –logistics 
2
Stephen Mayani
Officer –logistics 
3
Ngumoi Laizer
Officer –logistics 
4
Justine Selekwa
Officer –logistics 


31. OPERATION AND PLAN OFFICER

S/N
NAME
POST APPLIED     
1
Idrissa HashimMajamba
Operation and Plan Officer

32.PLANNING AND BUDGET SUPPORT OFFICER X 2

S/N
NAME
POST APPLIED  
1.
Juvenal D. Lema
Planning And Budget Support Officer X 2
2
Joseph NingisigweKatamba
Planning And Budget Support Officer X 2
3
Nicodemus T. Massao
Planning And Budget Support Officer X 2
4
Martin MlingoSapanjo
Planning And Budget Support Officer X 2


33.PROGRAMME OFFICER SQAM

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Happy Brown Kanyeka
Programe Officer SQAM
2
Safari Fungo
Programe Officer SQAM
3
Bhoke John Rotente
Programe Officer SQAM



34.PROGRAMME OFFICER CUSTOMS CAPACITY BUILDING

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
January S. Qamana
Programme Officer Customs Capacity Building
2
Ambrose A. Bahati
Programme Officer Customs Capacity Building
3
Semainda G. Mhina
Programme Officer Customs Capacity Building


35.PROGRAMME OFFICER CAPITAL MARKETS

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Patrick Gondwe
Programme Officer Capital Markets
2
Fidelis Mkatte
Programme Officer Capital Markets


36.PROGRAMME OFFICER FINANCIAL SECTOR

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Mahyono Rashid
Programme Officer Financial Sector
2
Fredrick Romani
Programme Officer Financial Sector
3
John Madaba
Programme Officer Financial Sector
4
Eliamlisi Joseph Mlay
Programme Officer Financial Sector


 37. PROGRAMME OFFICER INVESTIMENT

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Annamaria Mwamyalla
Programme Officer Investment
2
Lilian Maua Mwamdanga
Programme Officer -Investment
3
MeshackJoramAnyingisye
Programme Officer -Investment


38. PROGRAMME OFFICE REGIONAL TRADE
S/N
NAME
POST APPLIED         
1.    
FelistaS.Rugambwa
Officer Resource Mobilization X2
2.    
Alphonce N. Mayala
Officer Resource Mobilization X2
3.    
Said R. Nyenge
Officer Resource Mobilization X2







S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Viola Sawere
Programme Officer Regional Trade
2
Mosses Lufuke
Programme Officer Regional Trade
3
Mussa Martine
Programme Officer Regional Trade

39. PUBLIC SECURITY OFFICER

S/N
NAME
POST APPLIED               
1
Joseph Musuguri
Public Security Officer
2
Daniel Masasi
Public Security Officer
3
Kichere Chacha Mwita
Public Security Officer

40.OFFICER RESOURCE MOBILIZATION X2

S/N
NAME
POST APPLIED    
1
Justine Mdamila
Human Resource Officer
2
Mary William Minja
Human Resource Officer
3
AminathaSirajuKaboyonga
Human Resource Officer