| Mhe. Kagasheki akisalimiana na Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa hapa nchini, Dkt. Alberic Kacou mara baada ya kuwasili. |
![]() |
| Mhe. Kagasheki akifuatana na Mkuu wa Itifaki, Balozi Maharage, Dkt. Kacou na Balozi Mushy kuelekea kwenye Jukwaa Kuu. (picha na Zainul Mzige wa dewjiblog.com) |
| Mhe. Kagasheki akisalimiana na Wakuu wa Mashirika mbalimbali ya Umoja wa Mataifa yaliyopo hapa nchini mara baada ya kuwasili. |
| Mhe. Kagasheki akisikiliza Wimbo wa Taifa ukipigwa kuashiria ufunguzi wa maadhimisho hayo. |
| Gwaride la Heshima |
![]() |
| Mhe. Kagasheki akikagua Gwaride la Heshima kwa ajili ya kuadhimisha miaka 68 ya Umoja wa Mataifa (picha hii na Bw. Zainul Mzige wa dewjiblog.com) |
| Mshereheshaji (MC) wa siku hiyo Bw. Macocha Tembele, Afisa Mambo ya Nje akiwa kazini |
| Viongozi wa Dini waliokuwepo uwanjani hapo. |
| Mabalozi na Wageni waalikwa mbalimbali pia walikuwepo. |
| Mabalozi |
| Wageni waalikwa |
| Dua kuiombea amani dunia ikisomwa |
| Maombi yakitolewa |
| Sala ikitolewa |
| Burudani kutoka Brass Band ya Jitegemee ikitolewa |
| Dkt. Kacou akisoma ujumbe wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuadhimisha siku hiyo. |
| Wageni waalikwa wakimsiliza Dkt. Kacou (hayupo pichani) |
| Mhe. Kagasheki akihutubia |
| Dkt. Kacou na Balozi Mushy wakimsikiliza Mhe. Kagasheki (hayupo pichani) |
| Maafisa Mambo ya Nje wakimsikiliza Mgeni Rasmi (hayupo pichani). Kushoto ni Bw. Lucas Mayenga, Bw. Amos Tengu na Bw. Tembele. |
| Maafisa wengine wakifuatilia maadhimisho hayo kwa furaha. Kutoka kulia ni Bi. Asha Mkuja, Bi. Ramla Khamis na Bi. Jubilata Shao. |
| Meza Kuu. |
| Mhe. Kagasheki akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Maonesho yaliyoandaliwa mahsusi kwa ajili ya kuadhimisha miaka 68 ya Umoja wa Mataifa |
| Mhe. Kagasheki akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na Taasisi zake. |
| Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bw. Mkumbwa Ally akitoa maelezo kuhusu majukumu ya Wizara kwa Mhe. Kagasheki alipotembelea Banda la Wizara. |
| Mmoja wa Maafisa kutoka Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), Bw. Rodney Thadeus akitoa maelezo kwa Mhe. Kagasheki kuhusu utendaji wa kituo hicho. |
| Mkufunzi Mwandamizi kutoka Chuo cha Diplomasia, Bw. Ali Masabo nae akimweleza Mgeni Rasmi, Mhe. Kagasheki majukumu ya chuo hicho |
| Bi. Praxida kutoka Taasisi ya APRM akimhudumia Balozi wa Msumbiji hapa nchini alipotembelea Banda la Wizara. |
| Mhe. Kagasheki akipata maelezo kutoka kwa Afisa wa Kitengo cha Habari cha Umoja wa Mataifa, Bi. Usia Nkoma alipotemebelea mabanda mbalimbali Viwanjani hapo. |
| Dkt. Kacou akifurahia jambo na Balozi Mpango pamoja na Mkuu wa Itifaki, Balozi Maharage. |
| Balozi Mushy akisisitiza jambo kwa Dkt. Kacou. |


No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.