| Mhe. Rasmusson akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Wizarani. |
| Bw. Haule akizungumza na Mhe. Rasmusson |
| Mhe. Rasmusson akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule |
| Wajumbe waliofuatana na Mhe. Rasmusson wakifuatilia mazungumzo kati ya Bw. Haule na Mhe. Rasmusson (hawapo pichani). Wa kwanza kulia ni Balozi wa Sweden hapa nchini, Mhe. Lennarth Hjelmaker. |
| Mhe. Rasmusson akifurahia jambo kwa pamoja na Bw. Haule na Balozi Hjelmaker. |
| Bw. Haule akimsindikiza Mhe. Rasmusson mara baada ya kumaliza mazungumzo yao. |
| Bw. Haule akiagana na Mhe. Rasmusson. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.