Friday, June 17, 2016

Wizara ya Mambo ya Nje yaeleza fursa za Biashara ndani ya EAC

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bi. Mindi Kasiga (Kulia) akiwaeleza waandishi wa habari (hawapo pichani) fursa za biashara zilizopo katika soko la Afrika Mashariki na taratibu zinazotakiwa kufuatwa, badala ya kutumia njia sizizo halali kuvusha bidhaa zao mipakani. Mkutano huo na Waandishi wa Habari ulifanyika jana katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere. Kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Biashara, Uwekezaji na Sekta za Uzalishaji katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Geoffrey Mwambe.
Bw. Mwambe akiongea na waandishi wa habari, ambapo alieleza ni wakati sasa Watanzania wakatumia fursa hizo na pale wanapokutana na vikwazo vinavyokwamisha biashara zao ni vema wakatoa taarifa mapema badala ya kujijengea dhana ya uoga na kuacha fursa hizo zikiwanufaisha majirani zetu ndani ya Jumuiya hiyo.
===================================

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.

Uhuru wa kufanya biashara ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inapenda kuwajulisha  wafanyabiashara wa Tanzania na wananchi wote kwa ujumla kuwa wanaweza kutumia fursa za biashara zinazopatikana katika soko la nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) kwa kuuza bidhaa zao ndani ya nchi wanachama yaani Kenya, Rwanda, Burundi, Uganda pamoja na sisi wenyewe Tanzania .

Wafanyabiashara wanatakiwa kuchangamkia fursa hiyo kwa kuwa ni haki yao na ni utekelezaji wa malengo ya Jumuiya ambayo yemebainishwa katika Mkataba wa uanzishwaji wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kifungu namba 5 ambapo Jumuiya ilianzisha Itifaki ya Umoja wa Forodha (The East African Community Customs Union).

Chini ya Itifaki hiyo wafanyabiashara wa Nchi Wanachama wana uhuru wa kufanyabiashara ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki bila kutozwa ushuru wa forodha ilimradi bidhaa zao zimezingatia vigezo na kufuata utaratibu ulioainishwa katika Itifaki hii.

Japokuwa Sudan Kusini imeridhia kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki bado fursa za kufanya biashara nchini humo hazijakamilika. Hii ni kwasababu nchi hiyo imejiunga na Jumuiya hivi karibuni na hadi hapo itakaporejesha ‘Instrument’ yaani zile hati za kujiunga na Jumuiya baada ya kufuata utaratibu wa nchi hiyo, ndipo itakuwa mwanachama kamili ambaye atafurahia matunda haya tunayoyaongelea hapa.  Yaani, Sudani Kusini itaingia kwenye utaratibu wa utekelezaji wa Itifaki na makubaliano mbalimbali yaliyofikiwa katika Jumuiya.

Ili mfanyabiashara hasa mdogo aweze kufanya biashara katika Soko la Jumuiya hii anapaswa kufuata utaratibu ufuatao:

a.     Mfanyabiashara/ Msafirishaji anatakiwa kufika kwenye kituo chochote cha forodha kilichopo mpakani akiwa na bidhaa yake anayotaka kuuza  kwenye Soko la Jumuiya.

b.     Akiwa Kituoni hapo, msafirishaji atatakiwa kupatiwa cheti cha Uasilia wa Bidhaa Kilichorahisishwa (Simplified Certificate of Origin) ambacho hutolewa bure na ofisi za Mamlaka ya Forodha Tanzania zilizopo mipakani.

c.      Mfanyabiashara atatakiwa kujaza taarifa zinazotakiwa kwenye cheti hicho kama vile jina kamili la msafirishaji, anuani, nchi anayotoka, maelezo ya bidhaa na thamani ya bidhaa. Afisa forodha wa kituo husika atajaza maeneo yanayomhusu na kugonga muhuri katika cheti hicho.

d.    Mfanyabiashara atatakiwa kuonesha cheti cha uasilia wa bidhaa wakati akiingia kwenye nchi mwanachama anapotaka kuuza bidhaa hiyo.

e.     Cheti cha uasilia wa bidhaa ni kwa ajili ya mfanyabiashara mdogo mwenye bidhaa isiyozidi dola za Kimarekani 2000. Aidha, mfanyabiashara mdogo halazimiki kuwa na wakala wa Forodha.

f.       Mfanyabiashara mdogo anatakiwa kufuata taratibu zinazohitajika na taasisi nyingine zinazohusika katika kuruhusu uingizaji / uagizaji wa bidhaa kama vile:

·        Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA),
·        Shirikia la Viwango Tanzania (TBS) na mamlaka nyingine.

Wizara inatoa wito kwa wafanyabiashara na wananchi kwa ujumla iwapo watakutana na vikwazo visivyo vya kiforodha wakiwa katika Nchi Wanachama, wawasilane na Wizara kupitia Mawasiliano yaliyoanishwa hapo juu.

Aidha, wafanyabiashara pia wanaweza kutoa taarifa za vikwazo wanavyokutana navyo kupitia mfumo wa ujumbe mfupi kwa kuandika neno ‘NTB’ na kutuma kwenda namba 15539. Vilevile kwa madereva wa magari makubwa wanaosafirisha mizigo kwenda Nchi Wanachama utaratibu umewekwa ambapo madereva hao wanaweza kutoa taarifa za moja kwa moja kwa Jeshi la Polisi kupitia namba 0713631780 iwapo watakutana na vikwazo visivyo vya Kiforodha vya  barabarani. Kadhalika wafanyabiashara pia wanaweza kuwasilisha malalamiko yao juu ya Vikwazo visivyo vya Kiforodha kupitia tovuti ambayo ni www.tradebarriers.org

Wizara inahimiza wafanyabiashara kutumia njia halali za kuvusha bidhaa kwenye mipaka ya Nchi wanachama kwani njia zisizo halali (Njia za panya) hupelekea wafanyabiashara wengi kudhulumiwa bidhaa au mali zao, kuvamiwa, kuumia  na wakati mwingine kuuza bidhaa kwa bei ya hasara. Watanzania wanaweza kufanya biashara ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na bidhaa zao kutolipa ushuru wa forodha ilimradi wamezingatia taratibu zilizokubalika katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.  Aidha, mfanyabiashara atatakiwa kuwa na hati ya kusafiria pindi anapotaka kuvuka mpaka kwenda Nchi Mwanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

  Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Dar es Salaam, 16 Juni 2016.

Balozi Luvanda akutana na kufanya mazungumzo na Naibu Balozi wa Ujerumani

Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Baraka Luvanda (kulia), akizungumza na Naibu Balozi wa Ujerumani hapa nchini Bw. John Reyels ambaye alimtembelea hivi karibuni katika Ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam, ambapo katika mazungumzo yao walizungumzia juu ya kukuza na kuboresha mahusiano kati ya Tanzania na Ujerumani hasa katika sekta ya Biashara, Elimu na Uchumi.
Bw. Reyels katika mazungumzo yake aliipongeza Serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, kwa juhudi zake katika mapambano dhidi ya rushwa.
Sehemu ya Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Luvanda na Naibu Balozi.
Mazungumzo yakiendelea
Picha ya pamoja 

Prese Release

PRESS RELEASE

THE 06TH ORDINARY SUMMIT OF ICGLR HEADS OF STATE AND GOVERNMENT HELD IN LUANDA, ANGOLA
ON 14TH JUNE, 2016

         The Heads of State and Government of the International Conference on the Great Lakes Region (ICGLR) met in Luanda, Angola, on 14th June, 2016 at the invitation of His Excellency José Eduardo dos Santos, President of the Republic of Angola and ICGLR Chairperson, to review the political and security situation in the Region. Also in attendance were; H.E. Yoweri Museveni, President of the Republic of Uganda, H.E. Uhuru Kenyatta, President of the Republic of Kenya, H.E. Joseph kabila, President of the Democratic Republic of Congo (DRC), H.E. Denis Sassou N’guesso, President of the Republic of Congo. H.E. Jacob Zuma, President of the Republic of South Africa also attended as the Guest of the Chairperson. Other ICGLR Member States were represented by the Vice Presidents, Prime Ministers and Ministers of Foreign Affairs. 
         
Hon.  Dr. Augustine P. Mahiga (MP), Minister of the Foreign Affairs and East African Cooperation of the United Republic of Tanzania, represented H.E. Dr. John Pombe Joseph Magufuli, President of the United Republic of Tanzania, to this Summit and also led Tanzanian delegation to the Regional Inter-Ministerial Committee (RIMC), held on 12th June, 2016. It should be recalled that this Summit was scheduled to take place in February 2016; however, it was thought worthwhile to postpone the meeting to a later date due to the lack quorum. 
         
The Summit whose theme “Accelerating the effective implementation of the Pact and its Protocols for a more democratic and stable Great Lakes Region” reiterated its primary responsibility to find lasting solutions to peace and security challenges in the region and reaffirmed its strong commitment to the ICGLR Pact on Security, Stability and Development in the Great Lakes Region and its related Protocols.
         
Among the agenda items, the Summit received and considered the reports and recommendations of the meeting of the Committee of Ministers of Defense held on 11th June, 2016, meeting of the Regional Inter-Ministerial Committee (RIMC) held on the 12th June, 2016. After consideration of reports, the Summit decided as follows:-

1.            Welcomed the resumption of the East African led Inter-Burundian Dialogue held from 21st to 24th May, 2016, in Arusha, Tanzania and encouraged the Government of Burundi and the opposition parties to commit to that process. The Summit also recommended that the Facilitator of the Inter-Burundi dialogue, H.E. Benjamin W. Mkapa, former President of the United Republic of Tanzania, be invited to future Ordinary Meetings of the RIMC to brief Member States on the progress of the dialogue;

2.            Commended DRC Government for the preparations of political dialogue aiming at creating a conducive climate for the next elections. Further urged all Congolese political actors to participate in the dialogue and provide full support to the work of the International facilitator appointed by the African Union Commission;

3.             Resolved to redouble regional efforts to neutralize all negative forces including FDLR, ADF, LRA and others which continue to disturbalise the region.

4.            Urged the UN and other concerned parties to accelerate the repatriation of disarmed ex-combatants of the FDLR in the cantonment camps to Rwanda or resettlement to a third country outside the region.

5.            Welcomed the formation of the Transitional Government of National Unity, and appealed to the region and the international community to sustain support to the government and the people of South Sudan for the sake of peace and stability in the country;

6.            Supported the efforts of the Republic of Sudan to lift the unilateral and coercive economic sanctions imposed on it by the United States of America, and note with alarm the disproportionate and indiscriminate human cost of these measures on the Sudanese civilian population, and in particular women and children.

7.            Commended the outgoing Executive Secretary, Prof. Ntumba Luaba, for the good services rendered to the organisation during his term, and wish him well in his future endeavours. Thereafter, approved the appointment of Amb.Zachary Muburi-Muita as the Executive Secretary of the ICGLR for a term of 4 years, effective 14/06/2016.

8.            The Summit avails itself of this opportunity to congratulate the Governments and People of the Republic of Uganda, the Republic of Congo and the United Republic of Tanzania for having conducted peaceful, fair and transparent general elections.

9.            The Summit finally expressed its profound appreciation to the Government and the people of the Republic of Angola for the warm hospitality extended to all delegations, and for the excellent facilities placed at their disposal to enable the success of the Summit.

Issued by Government Communication Unit, Ministry of Foreign Affairs and East African Cooperation
17 June 2016

Thursday, June 16, 2016

VACANCY ANNOUNCEMENT

WORLD METEOROLOGICAL ORGANIZATION
   EDITOR (ENGLISH) (1966)
17 June 2016

VACANCY NOTICE NO: 1966 
DEADLINE FOR APPLICATION: 30 June 2016 
13 day(s) until closing deadline - Currently accepting applications
POST 

Editor (English)
GRADE 

P3
DUTY STATION  

Geneva, Switzerland
COMMENCEMENT OF DUTY 

1 September 2016
 
or as soon as possible thereafter
NATURE OF APPOINTMENT 

Fixed-term - 2 years
ORGANIZATIONAL UNIT 

Language, Conference and Publishing Services Department
Applications from suitably qualified female and male candidates are equally welcome. The statutory retirement age after 1 January 2014 is 65. For external applicants, only those who are expected to complete the term of appointment will normally be considered. 
DUTIES AND RESPONSIBILITIES 

Under the supervision of the Director, LCP, the incumbent will perform the following duties:

(a) Edit and/or copy-edit a variety of WMO publications, ranging from general to very technical, relying on the WMO English Style Guide and guidance from senior colleagues;

(b) Use various publishing software and platforms in the editorial process in order to prepare efficiently the publications for downstream processing and publishing;

(c) Provide advice to external collaborators on the WMO editorial policy and quality standards;

(d) Participate in the development of editorial policies; advise other members of the Secretariat on English editorial matters; counsel and assist external translators and editors on relevant WMO procedures, in consultation with senior colleagues and/or technical experts;

(e) During WMO conferences and meetings, act as report writer, when required;

(f) Assist in terminology work and other language-related projects;

(g) Carry out other relevant duties as required.
QUALIFICATIONS 
Education 
University degree or equivalent in languages, editing, translation or a technical field closely related to the work of WMO. Successful certification of completion from the United Nations Language Competitive Examination for English-language Copy Preparers, Proofreaders, Production Editors, or the UN Language Competitive Examination for English Editors or the UN Language Competitive Examination for English Translators/Précis-writers.
 
Experience 
Five years of relevant experience in editing highly scientific material in an international organization, of which two years in a United Nations system. Experience acquired in a governmental or a large-scale private company is acceptable provided that it is coupled with the experience in an international organization. Familiarity with the preparation of reports and documents for international conferences and meetings. Knowledge of meteorology, hydrology or related disciplines would be an advantage.
 
Other requirements 
Professional command of publishing software and platforms for editing. Ability to work under pressure and to meet tight deadlines while maintaining high levels of output and required standards of quality. Understanding of the overall purpose of published material and of copy-editing and editing responsibilities. Ability to work in a multicultural environment as a team member. Strong communication skills, both oral and written. Good health permitting travel to any area of the world.
 
Languages 
English as the principal language essential. Excellent knowledge of French or one of the other official languages. Working knowledge of an additional official language of the WMO Secretariat would be an advantage.
 
(Note: the working languages of the WMO Secretariat are English and French. The official languages of the Organization are Arabic, Chinese, English, French, Russian and Spanish.)
The Secretary-General may appoint a candidate at a grade below the advertised grade of the post, with the possibility of promotion to that grade within three years of appointment, subject to satisfactory appraisal of performance.
Possibility of renewal subject to the availability of funds and pending satisfactory performance after an initial probationary period of one year which can be extended up to a maximum of two years.
SALARY, ALLOWANCES AND OTHER BENEFITS
Annual net base salary on initial appointment is:
US$ 60813 for staff members with dependants
US$ 56766 for staff members without dependants
Annual post adjustment on initial salary is:
US$ 53333 for staff members with dependants
US$ 49783 for staff members without dependants
This post adjustment, which is subject to change without notice, is paid in addition to the net base salary.
Additional Information: 
Only applicants in whom WMO has a further interest will be contacted. Shortlisted candidates may be required to sit a written assessment and/or an interview. The interviews are tentatively scheduled for the week of 22 to 26 August 2016.
Date of issue of vacancy notice: 2 June 2016

VACANCY ANNOUNCEMENT

e-Recruitment Home / Employment / Xenon Background Officer, P-3

Xenon Background Officer, P-3
Post number: VASTAIDC-007-2016
    
The Preparatory Commission for the Comprehensive Nuclear-Test-Ban Treaty Organization (CTBTO) is an international organization located in Vienna, Austria. Its main task is to establish a global verification regime to monitor compliance with the Comprehensive Nuclear-Test-Ban Treaty (CTBT), which bans all nuclear explosions. The verification regime includes a global network of 337 monitoring facilities, using four different technologies (seismic, hydroacoustic, infrasound and radionuclide), a communications infrastructure, an international data centre, and the capability to carry out on-site inspections.
We seek to recruit a highly qualified candidate for the following position in the Commission’s Provisional Technical Secretariat:
Post title:
Xenon Background Officer
Grade:
P-3
Vacancy Announcement No:
VASTAIDC-007-2016
Date of Issuance:
26-May-2016
Deadline Date:
25-Jun-2016
Reporting date:
As soon as possible
Duties And Responsibilities:
Under the supervision of the Unit Head, Scientific Methods Unit, Software Applications Section, International Data Centre Division (IDC) to:
  • Organize and manage noble gas background measurement campaigns using the Commission’s two mobile Noble Gas measurement systems;
  • Organize shipment, customs clearance, site preparation, training of local station operators, preventive maintenance and repair of complex monitoring equipment at remote sites;
  • Prepare internal and official reports, periodically and on-demand;
  • Review noble gas data obtained during the campaigns;
  • Organize and manage the project on controlled source receptors experiments;
  • Contribute to the scientific analysis and related publications on radioxenon background campaigns and source-receptor experiments.
Qualifications:
  1. Academic degree in physics or related field;
  2. At least five years of relevant practical working experience at the national or international level;
  3. Knowledge of nuclear detector technology relevant to CTBTO related beta-gamma and high resolution gamma measurements;
  4. Knowledge of gamma-ray spectrum analysis, data analysis and assessment of scientific findings in the field of noble gas measurements;
  5. Experience in the management and organization of measurement campaigns and the remote operation of complex monitoring equipment;
  6. Excellent written and communication skills in English are essential. Working knowledge of one of the other official languages of the CTBTO Preparatory Commission is an asset.
Competencies:

Professionalism: Professional competencies in the related field of work; conscientious and efficient in meeting commitments, observing deadlines and achieving results; able to work independently with minimum supervision; ability to operate in compliance with organizational rules and regulations. 
Planning and Organizing: Ability to plan and organize own work within the framework of the Section’s work programme; good organizational skills. 
Communication: Very good skills in communicating with people from different backgrounds. 
Teamwork: Very good interpersonal skills; demonstrated ability to work in a multicultural environment. 
Technological Awareness: Ability to apply technological tools relevant to the job and to keep abreast of developments in the profession. 
Client Orientation: Skillful in identifying clients’ needs. 
Decision-making: Ability to make sound and timely decisions. 

Remuneration/Contract:

CTBTO offers an attractive remuneration package with competitive pay and benefits, as set out in the PTS' policy guidelines governing Short Term Appointments. The level of pay for internationally recruited staff is set within scales comparable to United Nations salaries. The indicative annual net base salary for this particular post includes a tax free salary of US$ 57,379 (single rate), plus a variable Post Adjustment which stands at 42.0% for Vienna, Austria (at the time of publication). The post adjustment is reviewed from time to time in line with the provisions that apply to staff in other comparable International Organizations. 

Additional benefits attached to the post include, where applicable, Assignment Travel and six weeks annual leave. The salary offered is subject to deductions of contributions to the CTBTO Provident Fund and Health Insurance Scheme or their approved equivalents. 

Short Term Appointments shall initially be made under a contract for a period not to exceed 364 days, subject to the successful completion of the probation period set forth in the Letter of Appointment. A Short Term Appointment may be extended to a cumulative period not to exceed 729 days, subject to the programmatic need, availability of funds and satisfactory performance.

How To Apply:

All applications should be made via the CTBTO e-Recruitment system before the deadline stated in the vacancy announcement.

The CTBTO Preparatory Commission retains the discretion not to make any appointment to this vacancy; to make an appointment at a lower grade in particular if the selected candidate has less than the qualifications required; to make an appointment with a modified job description, or to offer a contract term for a shorter duration than indicated in the Vacancy Announcement.

The CTBTO Preparatory Commission reserves the right to undertake correspondence only with shortlisted candidates.

THE PREPARATORY COMMISSION FOR THE COMPREHENSIVE NUCLEAR-TEST-BAN-TREATY ORGANIZATION IS COMMITTED TO A POLICY OF EQUAL EMPLOYMENT OPPORTUNITY. APPLICATIONS FROM QUALIFIED FEMALE CANDIDATES ARE PARTICULARLY ENCOURAGED.

e-Recruitment Home / Employment / Information Officer - Writer Editor, P-4
Information Officer - Writer Editor, P-4
Post number: VA180-24-2016
    
The Preparatory Commission for the Comprehensive Nuclear-Test-Ban Treaty Organization (CTBTO) is an international organization located in Vienna, Austria. Its main task is to establish a global verification regime to monitor compliance with the Comprehensive Nuclear-Test-Ban Treaty (CTBT), which bans all nuclear explosions. The verification regime includes a global network of 337 monitoring facilities, using four different technologies (seismic, hydroacoustic, infrasound and radionuclide), a communications infrastructure, an international data centre, and the capability to carry out on-site inspections.
We seek to recruit a highly qualified candidate for the following position in the Commission’s Provisional Technical Secretariat:
Post title:
Information Officer - Writer Editor
Grade:
P-4
Vacancy Announcement No:
VA180-24-2016
Date of Issuance:
26-May-2016
Deadline Date:
25-Jun-2016
Reporting date:
As soon as possible
Duties And Responsibilities:
Under the supervision of the the Chief, Public Information Section, Legal and External Relations Division to: 
  • Write, edit and revise material on the Treaty and the verification regime, including press releases, web articles and features for internal and external publication on non-proliferation and disarmament as well as science issues ensuring that these articles conform to the PTS information policy and standards;
  • Prepare and deliver presentations to a wide range of audiences on topics related to the Treaty, its verification regime and the wider non-proliferation and disarmament context;
  • Contribute to the maintenance of all on-line media managed by the Public Information Section;
  • Draft op-ed and analytical articles for a variety of media about the Treaty, the verification regime and the wider non-proliferation and disarmament agenda for use by senior management;
  • Ensure the integrity and mandate of the PTS is upheld in all communications between the organization, the media and all other interested parties;
  • Perform other duties as assigned.
Qualifications:
  1. Advanced university degree or equivalent in journalism, political science, international relations or a related field;
  2. At least seven years relevant working experience in the field of journalism or press and public information in the area of writing, editing, presentation and communication, at least three years of which should have been in an international environment; Experience dealing with issues concerning non-proliferation and disarmament;
  3. Good knowledge of MS Office and standard Internet tools;
  4. Demonstrated ability and prior work experience in dealing with sensitive issues and confidential material;
  5. Excellent written and oral communication skills in English are essential. Working knowledge of one of the other official languages of the CTBTO Preparatory Commission is an asset.
Competencies:
Professionalism: Professional competencies in journalism, political science, international relationsor related field of work; ability to review and revise the work of others; conscientious and efficient in meeting commitments, observing deadlines and achieving results; able to work independently with minimum supervision; capable of producing reports and papers on technical issues (capable of producing clear and comprehensive reports); proven analytical skills to arrive at sound conclusions when dealing with complex technical issues; ability to contribute to the development of policies and to interpret procedures and guidelines. 
Planning and Organizing: Ability to plan and organize work consistent with the strategic goals of the Section; to identify priority activities and assignments and to ensure the effective monitoring and implementation of work plans. 
Communication: Very good skills in communicating with people from different backgrounds. 
Teamwork: Very good interpersonal skills, demonstrated ability to work in a multicultural environment. 
Technological Awareness: Ability to keep abreast of developments and relevant technologies applicable to the profession. 
Leadership: Strong managerial/leadership skills; proven record of building and managing teams and creating an enabling environment. 
Client Orientation: Skillful in identifying clients’ needs and establishing and maintaining effective relationships with internal and external stakeholders. 
Decision-making: Ability to make sound and timely decisions. 
Remuneration/Contract:
CTBTO offers an attractive remuneration package with competitive pay and benefits. The level of pay for internationally recruited staff is set within scales comparable to United Nations salaries. The indicative annual net base for this particular post includes a starting tax free salary of US$ 69,032 (single rate) and US$ 74,130 (dependency rate), plus a variable Post Adjustment which stands at 42.0% for Vienna, Austria (at the time of publication). The post adjustment is reviewed from time in line with the provisions that apply to staff in other comparable International Organizations. 
Additional benefits attached to the post include, where applicable, dependency allowance, education grant, rental subsidy, six weeks annual leave and home leave travel every two years. The salary offered is subject to deductions of contributions to the CTBTO Provident Fund and Health Insurance Scheme. 

Initial contract for a fixed term of three years.

THE PREPARATORY COMMISSION FOR THE COMPREHENSIVE NUCLEAR-TEST-BAN-TREATY ORGANIZATION IS COMMITTED TO A POLICY OF EQUAL EMPLOYMENT OPPORTUNITY. APPLICATIONS FROM QUALIFIED FEMALE CANDIDATES ARE PARTICULARLY ENCOURAGED