Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Joseph Sokoine akipokelewa na Balozi wa Tanzania nchini Burundi, Mhe. Dkt. Jilly Maleko mara baada ya kuwasili Ubalozini hapo kwa ajili ya kupokea taarifa ya nchi kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 43 wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki unaotarajiwa kufanyika jijini Bujumbura tarehe 23 Februari 2023. Balozi Sokoine ataongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Jumuiya hiyo utakaofanyika tarehe 22 Februari 2022
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.