|
Waziri
wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) akimsikiliza
Katibu Mkuu wa Secretarieti ya Soko Huru la Pamoja Barani Afrika
(AfCFTA) Bw. Wamkele Mene walipokutana katika ofisi ndogo za Wizara
jijini Dar Es Salaam |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) akizungumza na
Katibu Mkuu wa Secretarieti ya Soko Huru la Pamoja Barani Afrika
(AfCFTA) Bw. Wamkele Mene walipokutana katika Ofisi ndogo za Wizara
jijini Dar Es Salaam |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) akimsikiliza
Katibu Mkuu wa Secretarieti ya Soko Huru la Pamoja Barani Afrika
(AfCFTA) Bw. Wamkele Mene walipokutana katika ofisi ndogo za Wizara
jijini Dar Es Salaam
|
|
Katibu Mkuu wa Secretarieti ya Soko Huru la Pamoja Barani Afrika
(AfCFTA) Bw. Wamkele Mene akizungumza na Waziri
wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba walipokutana katika Ofisi ndogo za Wizara
jijini Dar Es Salaam |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) akizungumza alipokutana na
Katibu Mkuu wa Secretarieti ya Soko Huru la Pamoja Barani Afrika
(AfCFTA) Bw. Wamkele Mene walipokutana katika Ofisi ndogo za Wizara
jijini Dar Es Salaam
|
|
Katibu Mkuu wa Secretarieti ya Soko Huru la Pamoja Barani Afrika
(AfCFTA) Bw. Wamkele Mene akizungumza na Waziri
wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba walipokutana katika Ofisi ndogo za Wizara
jijini Dar Es Salaam |
Katibu Mkuu wa Secretarieti ya Soko Huru la Pamoja Barani Afrika (AfCFTA) Bw. Wamkele Mene yupo nchini
kuhudhuria Kongamano la Pili la AfCFTA la Wanawake katika Biashara
lililofanyika jijini Dar es Salaam kuanzia tarehe 6-8 Disemba, 2023 na kukutanisha
wanawake walioko katika biashara kutoka nchi mbalimbali barani Afrika .
Katika mazungumzo yao viongozi
hao wamejadili juu ya namna bora ya kuendesha biashara katika bara la Afrika kupitia
soko hilo la AfCFTA.
Mhe. Waziri Makamba amemuhakikishia Bw. Wamkele Mene kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kushirikiana na AfCFTA katika kuhakikisha soko hilo linaleta manufaa yaliyokusudiwa.
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.