| Sehemu ya Wanawake wakimsikiliza Balozi Mulamula |
| Mmoja wa Wanachama, Bi. Mindi Kasiga akichangia wakati wa mkutano huo. Kulia ni Mjumbe wa Tawi, Bi. Grace Martin |
| Balozi Mulamula kwa pamoja na Bi Mwakawago wakimsikiliza Bi. Kasiga (hayupo pichani) alipochangia mada |
| Katibu wa Tawi, Bi. Annagrace Rwalanda akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya agenda zilizowasilishwa wakati wa mkutano huo. |
|
| Wanachama wakisikiliza hoja mbalimbali wakati wa mkutano |
| Sehemu nyingine ya wanachama |
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.