| Balozi Lu Youqing akizungumza na Mhe. Dkt. Mahiga kuhusu mwenendo wa ushirikiano kati ya Tanzania na China ikiwemo miradi mbalimbali ya maendeleo inayofanywa nchini kwa ushirikiano na China. |
| Balozi Mbelwa na Bw. Thobias Makoba, Msaidizi wa Waziri wakifuatilia mazungungumzo kati ya Mhe. Dkt. Mahiga na Balozi Lu (hawapo pichani) |
| Sehemu ya ujumbe kutoka Ubalozi wa China wakifuatilia mazungumzo |
| Mazungumzo yakiendelea |
| Picha ya pamoja |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.