| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea heshima ya wimbo wa Taifa wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. |
| Wageni waalikwa wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa. |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima lililoandaliwa kwa ajili maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa hotuba wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. |
| Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akizungumza machache wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. |
| Kikundi cha Burudani cha Wanafunzi kutoka Zanzibar kikitumbuiza wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa |
| Wanafunzi kutoka Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Weruweru wakiimba wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. |
| Sehemu ya wageni waalikwa wakifuatilia matukio wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa |
| Mhe. Waziri Mahiga naye akipokea tuzo kutoka kwa Bw. Rodriguez. Kulia ni Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Harrison Mwakyembe. |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa yaliyopo nchini |
| Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini. |
| Maafisa Mambo ya Nje ambao wameshiriki Maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa wakiwa katika picha ya kumbukumbu |
| Sehemu nyingine ya Maafisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki walioshiriki maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa. |
| Watumishi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakipata picha ya kumbukumbu wakati wa maadhimisho ya miaka 72 ya Umoja wa Mataifa |

No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.