Waziri wa Mtangamano wa Kikanda wa DRC na Mwenyekiti wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC, Mhe. Didier Mazenga Mukanzu akisoma hotuba yake wakati wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC
| Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (kushoto) pamoja na Mawaziri wenzake wakiwa wamesimama kwa ajili ya kuimba nyimbo za Taifa wakati wa hafla ya ufunguzi ya Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) | Naibu Waziri wa Kilimo, Mhe. Anthony Mavunde akichangia jambo wakati wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC
|
| Waheshimiwa Mawaziri na wajumbe wengine wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakifuatilia hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano huo.
|
|
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.