Mhe. Lamamra naye akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yao. |
Mhe. Membe akiagana na Mhe. Lamamra mara baada ya mazungumzo yao. |
Mhe. Lamamra naye akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yao. |
Mhe. Membe akiagana na Mhe. Lamamra mara baada ya mazungumzo yao. |
Makamishna wa AU na Wawakilishi wa Mashirika mbalimbali wakifuatilia hotuba ya Dkt. Dlaini-Zuma (hayupo pichani). |
Mawaziri kutoka nchi wanachama wa Umoja wa Afrika wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa mkutano wa baraza la mawaziri. |
Picha ya Pamoja mara baada ya ufunguzi. |
Mhe. Membe akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Zimbabwe, Mhe. Simbarashe Mumbengegwi (katikati) pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Mhe. Maite Nkoana-Mashabane |
Maafisa Waandamizi katika Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia wakibadilishana mawazo nje ya Ukumbi mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Mawaziri. |
Baadhi ya wajumbe waliohudhuria ufunguzi wa kongamano hilo wakimsikiliza Mhe. Waziri Membe (hayupo pichani) |
Mkuu wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji (IOM) hapa nchini Bw. Damien Thuriaux naye akizungumza huku Mhe. Membe na Bw.Rispoli wakimsikiliza wakati wa ufunguzi wa kongamano hilo. |
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Rosemary Jairo akifuatilia kwa makini ufunguzi wa kongamano kuhusu masuala ya Diaspora. |
Picha ya pamoja. |
Wajumbe wengine kutoka Afrika Kusini na Tanzania wakifuatilia mazungumzo kati ya Mhe. Maalim na Mhe. Thabete (hawapo pichani). Kulia ni Bw. Adam Isara, Msaidizi wa Mhe. Maalim. |
Mhe. Maalim akiagana na Mhe. Thabete mara baada ya mazungumzo yao. |
Picha ya pamoja. |
Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Ruqaishi Mhe. Mahadhi Juma Maalim, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Ruqaishi, Balozi Simba Yahya, Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Mhe. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi Ruqaishi (wa pili kushoto) na Maafisa waliofuatana na Balozi huyo. |
Mhe. Rais Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi Ruqaishi mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho. |
Mhe. Mahadhi (wa kwanza kushoto), Balozi Yahya (wa pili kushoto) na Maafisa Waandamizi katika Ofisi ya Rais wakifuatilia mazungungumzo ya Mhe. Rais na Balozi Ruqaishi (hawapo pichani) |
Balozi Ruqaishi akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili Ikulu. |
Kikosi cha Bendi ya Polisi kikiwa kazini. |
Balozi Ruqaishi akimshukuru Kiongozi wa Bendi ya Polisi. |
Mhe. Balozi Mlima akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete. |
Mhe. Rais Kikwete akisaini kiapo cha Balozi Mlima |
Kaimu Wakurugenzi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakishuhudia tukio la kuapishwa kwa Balozi Mlima. |
Mhe. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Balozi Mlima. |
Mhe. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Balozi Mlima na familia yake. |
Balozi Mlima (kulia) Akipongezwa na Balozi Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa. |
Balozi Mlima akihojiwa na Waandishi wa Habari mara baada ya kuapishwa. |