Wednesday, September 25, 2013

Tanzania yasaini Itifaki ya Kimataifa ya Kukomesha Biashara Haramu ya Bidhaa za Tumbaku

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Mhe. Hussein Mwinyi (Mb.)  akiwa katika picha ya pamoja na Naibu Balozi  katika Ubalozi wa Kudumu wa Tanzania, New York, Mhe. Ramadhan Mwinyi, Bi. Tully Mwaipopo, Afisa katika Ubalozi wa Tanzania, New York  na Bw. Santiago Villalpando, Mkuu wa Kitengo cha Mikataba wa Umoja wa Mataifa mara baada ya Mhe. Mwinyi kusaini Itifaki ya Kimataifa ya  Kukomesha Biashara Haramu ya Bidhaa zitokanazo na Tumbaku. Tanzania imekuwa nchi ya 24 duniani kusaini Itifaki hiyo ambapo kukamilika kwake kutatoa fursa kwa nchi wanachama wa Umoja wa Mataifa kudhibiti biashara hiyo ambayo kwa kiasi kikubwa hugharimu na kuathiri afya za watu. (Picha kwa Hisani ya Win Khine wa Umoja wa Mataifa)










No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.