| Mhe. Membe akiongozana na Mhe. Lavrov kuelekea kwenye meza ya mazungumzo. |
| Mhe. Membe na Mhe. Lavrov wakizungumza kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya nchi hizi mbili. |
-------------------------------------------
| Mhe. Membe akimweleza jambo Mhe. Obhrai walipokutana. |
| Mhe. Membe akimsikiliza Mhe. Obhrai. |
| Mhe. Obhrai na Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika, Balozi Dora Msechu katika picha ya pamoja. |
----------------------------------------------
| Mhe. Membe akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa New Zealand, Mhe. Murray McCully walipokutana mjini New York wakati wa Kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa. |
| Mhe. Membe akimweleza jambo Mhe. McCully. |
| Ujumbe wa New Zealand wakati wa mazungumzo. |
| Balozi Msechu wakati wa mazungumzo akiwa na Bw. Grayson Ishengoma, Afisa Mambo ya Nje. |
| Mazungumzo yakiendelea |
| Mhe. Membe akiagana na Mhe. McCully walipomaliza mazungumzo yao. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.