| Mhe. Rais Kikwete akisalimiana na Rais wa Uganda Kaguta Yoweri Museveni huku Mfalme Mswati wa Swaziland, Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohammed Shein wakishuhudia tukio hilo. |
| Mhe. Rais Kikwete akisalimiana na Rais wa Kenya, Mhe. Uhuru Kenyatta. |
| Kikosi cha Makomando wakionesha mbele ya Mhe. Rais, wageni waalikwa na wananchi mafunzo waliyopitia. |
| Moja ya zana za kivita za kisasa zikipitishwa mbele ya Mhe. Rais Kikwete na wageni waalikwa ikiwa ni moja ya kusherehea miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar. |
| Ndege za kivita nazo zikipita angani . |
| Mwanajeshi akitua na mwanvuli kutoka angani mita 4000 kutoka usawa wa bahari |
| Watoto wa Halaiki wakionesha umbo la picha za Rais wa Kikwete na Rais Shein na maneno yanayosomeka Miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar |
| Watoto kutoka Tanzania Bara na Zanziba wakionesha utaalamu wa kucheza ngoma |
| Kikundi cha Wasanii mbalimbali wakiimba wimbo maalum wa pamoja kuhusu miaka 50 ya Muungano
Picha Reginald Philip.
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.