|
| Maandamano yakiwa yameshika kasi |
| Maandamano yakiendelea |
| Rais wa Jamhuri ya Muungano akiwapungia mkono Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (hawapo pichani) walipopita kwa heshima mbele yake. |
| Wafanyakazi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wakipita mbele ya mgeni rasmi (hayupo pichani) wakiwa wamejawa na furaha na bashasha.
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.