| Mhe. Membe akiwa ameongozana na Mhe. Dovutoglu mara baada ya kumpokea wakielekea katika Hoteli ya Hyatt Regency kwa ajili ya mazungumzo rasmi. |
| Mhe. Membe na Mhe. Dovutoglu wakiwa na Wajumbe waliofuatana nao wakati wa mazungumzo rasmi. |
| Mhe. Waziri Membe akizungumza. |
| Baadhi ya Wakurugenzi na Kaimu Wakurugenzi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa pamoja na Waandishi wa habari wakimsikiliza Mhe. Membe (hayupo pichani) |
| Mhe. Dovutoglu nae akizungumza wakati wa Mkutano na Waandishi wa Habari |
| Mkutano ukiendelea |
| Mhe. Membe kwa pamoja na Mhe. Dovutoglu wakijibu maswali ya waandishi wa habari.
Picha na Reginald Philip
|
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.