Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, amefanya uteuzi
wa Naibu Mabalozi wawili.
Walioteuliwa
ni Bw. Robert Kahendaguza (pichani juu) anayekuwa Naibu Balozi, Ubalozi wa Kudumu kwenye
Ofisi za Umoja wa Mataifa, Geneva, Uswisi, na Bw. Msafiri Marwa (pichani chini) anayekuwa Naibu
Balozi wa Tanzania London, Uingereza.

Uteuzi
huu unaanza tarehe 25 Mei, 2014.
KATIBU MKUU
WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA,
DAR ES SALAAM
JUNI 11, 2014
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.