| Mhe. Habib Mnyaa, Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mhe. Maryam Ussi wakishiriki kikao cha maandalizi ya zoezi la kutoa elimu kuhusu Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. |
| Mhe. Pamela Maasay (kulia) na Mhe. Happiness Legiko wakijiandaa kukutana na wadau mbalimbali kwa ajili ya kutoa elimu ya Mtangamano. |
| Maafisa kutoka Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika kikao cha maandalizi ya zoezi la kutoa elimu kuhusu Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. |
| Mhe. Dkt. Abdallah Makame akitoa maelekezo kwa Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa dawati la Bunge. |
| Kikao kinaendelea |
| Waheshimiwa Wabunge wakiwa katika mkutano na waandishi wa habari kuwaeleza zoezi walilopanga la kuelimisha wadau kuhusu Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. |
| Waandishi wamefurika kusikiliza Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki kuhusu zoezi la kuelimisha wadau kuhusu Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki. |
| Waheshimiwa wabunge (kushoto) na waandishi wa habari wkiendelea na mkutano wao. |
Bandari ya Dar Es Salam
| Waheshimiwa Wabunge walienda kutembelea gati namba moja ambalo ni moja ya mageti ynayofnyiwa maboresho makubwa. |
Siku ya Kuzaliwa
| Mheshimiwa Maryam akisherehekea Siku yake ya kuzaliwa tarehe 04 Februari kwa kuwalisha keki Wabunge wenzake. |
| Happy Birthday kwa Mhe. Maryam Ussi kutoka kwa Mhe. Fancy Nkuhi. |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.