Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Msumbiji hapa Nchini Balozi Ricardo Mtumbuida. Balozi Ricardo amekutana na Balozi Mulamula kwa lengo la kujitambulisha kwake na kuzungumzia maeneo ya kipaumbele ya kushirikiana ili kuimarisha mahusiano kati ya Tanzania na Msumbiji |
No comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.